Home
Unlabelled
tangazo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hakuna cha ajabu hapo,life has pushed tanzanians to a corner such that 80 percent,and of all walks of life participate in these so called rituals.after ten years abroad,i was shocked when i came back home,the extent to which these waganga have taken hold of society,no wonder sadistics beheadings have now come to the fore
ReplyDeleteHiyo ya Hips ndio imenichekesha waongo waganga hao. mimi langu silitaki kama kuna mtu anaweza kulipia operation naweza kumpunguzia hela yako tu
ReplyDeleteBRO MISUPU
ReplyDeleteMI NADHAN UNGEMTEL A. FERGIE AJE AZUNGUMZE NA HUYO MKUDA ILI AKAWAGANGE WACHOVU MAN U MAANA WAPENDE WASIPENDE PALE MOSCOW TAR 21 MAY 2008 LAZMA WAPIBWE MIBAO HAO USHINDI WAO WA PREMIER LG WATAUONA CHAMTOTO
BY THE WAY TUNAENDELEA NA SABABU 50 ZA CHELSEA KUWAFUNGA MAN U SIKU YA FAINALI
4. CHRISTINA RONALDO SIKU YA MECHI KUBWA HUA MDEBWEDO HATAUPIGA KAMA ANAVYOUPIGAGA WANAPOCHJEZA NA WACHOVU EG WEST HAM
5. MAN HUWA KTK MECHI KUBWA WANAINGIWAGA NA MCHECHETO SANA SO SIKU HIYO NI KICHAPO TU
6. A. FERGIE UCHAWI WAKE WA KULA BIG G HAUTAFANYA KAZI MAANA KULE ITS ILLEGAL KULA KITU AU KUTAFUNA KITU UWANJANI
its me SMALL BENITEZ by the way tumeishampata mtoto GARETH BARRY ambaye atakuja kupiga beki tatu..namba ambayo ndio aliyoanzia A. VIlla 1997 kabla ya kuhamia left wing na hatimaye midfield..na bado usajili unaendelea..mwakani ni kichapo tu kwa wachovu wooote hasa Man u..teh teh
kazi ipo. wakati wenzetu wanafikiria kutengeneza mtu sisi bado tuko huku? one day yes tutaendelea tu . kudadeki nakaribia kuota mvi lakini sioni hiyo siku ikikaribia
ReplyDeletedu simchezo mimi ninataka hiyo kuongeza hips
ReplyDeleteEh!! usishangae mjini shule. kama wengine wanakula kwa kwa kupitia mikataba mibovu ya kuifilisi nchi ofisini basi wengine watakula kwa ujanja wao mitaani.Wenye matatizo yanayosabibishwa na ugumu wa maisha ni wengi na wote wanahitaji njia rahisi ya kutatua matatizo yao.Kwa hiyo mtaalam kutoka sumbawanga ndiyo jibu.tehee!!!teheee!!!
ReplyDeleteMjini shule, hapo siajabu hata huyo mganga alishawahi kuibiwa na hakuweza kuvirudisha vitu vyake vilivyoibwa lakini hapo anawatangazia watu kwamba anao uwezo.
Mweeee, makubwa
ReplyDeletehahahha,lazma itakua mwananyamala hapo
ReplyDeleteKama DR RADI anaweza kweli kufanya asemayo basi MAFISADI dawa yao ishapatikana.
ReplyDeleteHivi hawa waganga ukiwa na uhakika wanadanganya unaweza kuwashitaki kisheria?
duh wadau kunradhi presure ndio ugonjwa gani? au ni pressure?
ReplyDeleteMichuzi mwulize alipata shahada yake wapi huyu 'doctor'au amesahau neno 'witch'.Heri ya huyu kuliko Andrew Fisadi
ReplyDeleteasante michu naona watu wajue kipanya alimaanisha nini
ReplyDeleteasante michu naona watu wajue kipanya alimaanisha nini
ReplyDeleteHuyu doc wa kukimbia. Wenzake wanapunguza hips yeye anaziongeza. Mwambie aende na wakati...siku hizi ni Jlo wo wo wo lake kama anaweza kunipa hilo mi nakuja.
ReplyDeleteMhhh nimecheka sina mbavu....
Huyu atusaidie mafisadi basi...10% tutampa ya hela atakayoirudisha....
Bongo!!!! I love my country
Finally, the very person I have been waiting for. Let us start with EPA's lost resources.
ReplyDeleteWakina dada angalieni sana, hizo dawa za hivyo hao huwa wanadanganyaga kwamba zinaingizwa kwa kupitia viungo vyenu vya uzazi.
ReplyDeleteYaani anaikunywa yeye halafu anakuingizia mwilini mwako kwa kupitia viungo vyenu vya uzazi-yaani chake na chako.
Nadhani mmenielewa. Shauri zenu!
Sina nia ya kuendeleza mjadala wa pumba za Kipanya the other day.
ReplyDeleteKwa mdau aliyesema "asante michu naona watu wajue kipanya alimaanisha nini"
Mimi naona bado hili halimtetei Kipanya.
The best customers wa waganga wa kienyeji ni wasomi, wakurugenzi, wabunge na wafanyakazi, wote wakienda ili tu wawe na 'usalama' kazini au ktk biashara zao. Hawa si masikini!!!!!!!!!!!
Subiri wkt wa kampeni, halafu angalia msululu wa Macruiser kwenda Bagamoyo!
Bado Kipanya hajatetewa hapa. Kama ni umasikini wa 'mawazo', then hapo nitaomba maelezo ya huo 'utajiri' wa mawazo ni upi?
Naomba kufunga huu mjadala. Lakini 'utajiri' wa mawazo ambao unaweza kutufanya tusifanye yooote yaliyopelekea mjadala huu, mimi bado siujui!!!
hao ndo wachawi wenyewe,hamna lolote hapo uongo mtupu.kumwamini Mungu ndo jawabu la kila tatizo
ReplyDeleteHivi bagamoyo ndipo zilipo ofisi za waganga wa kienyeji au? nini hasa kilichopo hata kila mtu akizungumzia uchawi lazima akutaje bagamoyo. kuna nini?
ReplyDeleteMaana naona hata sasa magari ya kifahari yanaenda bagamoyo ila hayahusiswi na uchawi lakini yakienda wakati wa uchaguzi ni uchawi!!! Kumbukeni bagamoyo ni sehemu ya utalii na ina hotel nyingi pia za kitalii hivyo watu kwenda bagamoyo siyo kutafanya uchawi bali ni kustarehe. kitu kingine kinachonishangaza ni idadi kubwa ya matukio ya uchawi yanayotokea sehemu kama Mbeya, iringa , mara, mwanza, shinyanga, singida, n;k watu bado wanang'ang'ani bagamoyo sijui imewakosea nini.
TUSIMPUUZE HUYU MH.SERIKALI IMTUMIE HUYU KURUDISHA MABILION YALIYO FICHWA NJE YA NCHI,MAANA KAMA ALIVYO JIELEZA KUWA ANAKOMESHA MPAKA DHULUMA BASI SERIKALI IMCHUKUE AZUIE UFISADI MAANA NAO NI DHULUMA KWA WANANCHI.
ReplyDeletebwanangu kanitema, naitaka hiyo ya kumvuta aliyembali jamani kaaaa!
ReplyDeleteMH JAMANI ETI KUONGEZA HIPS!MAKUBWA HAYA!MI NAULIZA HIVI UNAMUAMBIA KIASI GANI CHA HIPS UNATAKA AU?UNAMPA VIPIMO KABISAA..HAHAHAHA...MA MDOGO UK
ReplyDelete