Home
Unlabelled
vichwa vya habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
secession = movement ya kutaka haki itendeke
ReplyDeletecessation = kufikia mwisho wa kitu
gazeti la chini lililoandika cessation limekosea...
Kwa ujumla magazeti yote yanazungumzia mpango wa wapemba kutaka kujitenga ingawa katika taarifa tofauti (haya ni mawazo yangu baada ya kusoma vichwa vya habari tu, kwani sijapata kusoma habari kamili katika hayo magazeti).
ReplyDeleteGazeti moja limekosea "spelling" kwani kwa suala linaloendelea Pemba kwa wakati huu, gazeti lililotumia 'secessionists' ndilo limepatia kwani linamaanisha kujitoa au withdrawal na hivyo kuendana na kinachoendelea huko Pemba.
Kwa upande mwingine "cessation" inamaanisha kumaliza au kusimamisha kwa kitu (stopping) na hivyo kutoleta mlingano na hicho kinachoendelea huko Pemba.
Hata hivyo, kama nilivyonena hapo juu, kwa jinsi magazeti yalivyo (hasa ya hapo kwetu), unaweza soma habari nzima na kupata maana nyingine kabisa.
Ignorant, Jeremani
Kwa maoni yangu kaka Mi-soup
ReplyDeleteTo "Secede" ni kujitenga kutoka katika jamii(ya kidini au kisiasa au muungano)
"sesession" ni kitendo cha kujitenga au kundi la watu wanaotaka jitenga
"cessation" ni kusimamisha (stopping/cease)
Sidhani kama umakini umetumika hapo, nadhani kuna walakini...manake yametumia maneno mawili tofauti kumaanisha kitu kimoja....sijui wadau mwasemaje
Nyaningedere
Heading? Why not say "Pemba separatist’s released? It is just a suggestion. Any way Unguja Govt actions are like those in last decades which now is becoming history, they don't even know how to define their parameters to conquer voter’s choice! Are they blind? Or just foolish who don't know their way? Kikwete help Karume, he is at the end of his efficiency! No more than that, he can't see the future though he has eyes, he can't smell danger though he has nose, if no action today do you wait to see Kosovo in Africa? We are fed up with what happening in Burundi, DRC, Sudan, Nigeria, and Somalia. Wake up my brothers, people want developments and not cold war politics which now are over. Define your political vision in terms of development not oppressing the minority Pemba’s just because they supported sultan, that generation is history. CCM find your legitimacy in terms of development and democracy not by rigging. Mwafaka is good option, CCM know it but CCM Zanzibar doesn’t want to share the chairs before 2010! That is where you all went wrong. Security estimates shows that CUF is going to win in 2010 now why wait the disaster? Kikwete take action now, you are the chairmen make critical decision because you have the veto. Tell your party to reconsider the option and not to wait public opinion because the 2005 election is the evidence, people of Pemba want changes. (Middle East political analyst)
ReplyDeletekaka michuzi kulinganga na tatizo ulilonalo leo tumelifumbua, sasa nenda google.com halafu andika dictionary.com halafu tafuta maneno hayo utafanikiwa tu misupu
ReplyDeleteHilo gazeti lililoandikwa "cessation" lina mhariri? Kama yupo basi ni "kihiyo", hata kama utasema nachafua hali ya hewa siombi radhi, ni kihiyo huyo mhariri! Mimi nilidhani wahariri wa magazeti ya kiingereza wamesoma lugha ya kiingereza, kumbe ndio mambo haya? Niliwahi kusoma habari kwenye gazeti moja la kiingereza la hapo bongo ambayo ilizungumzia mama mjamzito aliyegongwa na gari na kufariki, mwandishi akadai ati alipofanyiwa uchunguzi huyo maiti alikutwa na "a six month baby in her stomach"! Na kuna tangazo liko kwenye blog moja maarufu ya Tanzania kuhusu benki moja linasema benki hiyo ni "a bank that listen its customers"! Na kwenye benki nyingine hukohuko bongo kitengo cha mawasiliano na wateja kuna ubao umeandikwa kwa herufi kubwa "CORESPONDENCE DEPARTMENT". Mshangao ni kuwa wote walioajiriwa kufanya kazi zote nilizozitaja walisoma kiingereza kama mojawapo ya masomo yao makuu!
ReplyDeleteMichuzi hapa sijakusema wewe, kwa hiyo ukiibania comment hii nitajua una yako mengine.
Halafu Michuzi nakuongezea hii: Mmojawapo wa wadhamini wa blog yako ni "THE LEADING MOBILE COMPANY IN TANZANIA THAT VALUE AND LISTEN ITS CUSTOMERS"! Hapa Michuzi najua lazima uzalendo utakushinda hii comment utaibania tu! Vijisenti si mchezo ati! Hata hivyo nakushauri uiweke wengine wajifunze pia. Vyovyote utakavyoamua lakini ujumbe nimekufikishia.
ReplyDeleteMzee Misupu, mimi sidhani kuwa hujui kiinglish ila nashawishika kufikiri kuwa unataka kufahamu ni gazeti lipi limetumia hizi lugha za wakerewe kwa ufasaha na umakini.
ReplyDeleteHaya:
ces·sa·tion inatamkwa [se-sáysh'n]
inamaanisha hitmisha, simama, koma, [a stop, pause, or interruption, especially a permanent discontinuation] ona pia neno Cease. hata hivyo Cessation ni neno lililotoholewa toka lugha ya kilatini mnamo karne ya 15 [Latin cessation- cessat- , past participle of cessare "stop"] Kwa hiyo hilo gazeti lililoandika "Pemba cessation'plan: More suspects arrested" linamaana mpango wa Pemba wa kusimama/kukoma:washukiwa zaidi watiwa nguvuni/wakamatwa
2. Neno'"secession" lenyewe hutamkwa [si-sésh'n]
maana yake ni kujitoa au kujitenga rasmi toka kwenye shirika, taifa au ushirika/umoja[formal withdraw from an organisation, state au alliance] kiini cha hili neno ni seccede. lilitoholewa toka kifaransa/kilatini [secedere] yaani [farakana = go apart] na kuwa neno la kiingereza katikati ya karne ya 16
Kwa mantiki hii, kisa cha Pemba kinahusu Secession na siyo Cessation. inabidi mhariri wa hilo gazeti afanye bidii kupiga msasa kikerewe chake. Huyo aliyeandika Pemba 'secessionists'released yuko sahihi kimantiki na kwa matumizi sahihi ya maneno ya hizi lugha za watu.
Wadau wenzangu naomba kuwasilisha.
wwww.kipimautu.wetpaint.com
ndugu sijui lini nchi za dunia ya tatu zitawapa haki wananchi wake chukulia jamaa waliondika barua kwena UN kutaka pembe ijitenge sioni kosa lolote walilofanya bari ni kuelezea maoni yao.
ReplyDeletejamani watanzania tujaribu kupendana na kuheshimiana leo mtu ana haki ya kuzungumza chochote ili mradi asifanye fujo ya vitendo angalia nchi zote zenye demokrasi zilivyoendelea siyo sisi ndege inatoka dar kwenda kukupata watu pembe hata kosa halina kichwa wala miguu.
hiyo gharama ya ndege na wafanya kazi wake nguvu hiyo ingalisaidia wanachi wangapi wenye shida.
wapeneni watu uhuru wa kuzungumza maana hata mwehu anaweza kuwa na fikira nzuri pindi akipewa nafasi.
isitoshe hii ni dhuluma kwa mbele ya MUNGU wewe kama ni serikali fanya mazuri ili wanachi wapendezewe nguvu haisadii bali italeta chuki na mgawanyo tu.
namuomba raisi aingilie kati kwa kupigigania haki maadamu yeye ni baba wa nchi.
MUNGU ibariki haki angalia hotuba ya raisi wa amerika leo yeye anatetea haki wakati viongozi wahusika ndio maadui wa haki.
naikiwa raisi hatachukua hatua basi tabidi kusoma rakaa 2 za mtu kuzulumiwa.
Too often in the Middle East, politics has consisted of one leader in power and the opposition in jail," Bush said in a speech to 1,500 global policymakers and business leaders at this Red Sea beach resort.
"America is deeply concerned about the plight of political prisoners in this region, as well as democratic activists who are intimidated or repressed, newspapers and civil society organizations that are shut down and dissidents whose voices are stifled," Bush said.
"I call on all nations in this region to release their prisoners of conscience, open up their political debate and trust their people to chart their future," Bush said.
michuzi haya maoni ulitoa mwenyewe na ukajikosesha kwenye maana ya kwanza ili tuchangie? bec. hayo maneno yaliyotumika yana usahihi kwa mujibu wa yalivyotumiwa ila wewe uliyetoa tafsiri umekosea kwenye maana ya kwanza...
ReplyDeleteumesoma chini ya mti nini kaka michu!! hiyo habari hapo inamaana kuwa Jack Pemba, mfanya biashara maarufu ana maendeleo mazuri kwa kimombo success!! sema tu hao waandishi wamekosea nao wakaandika cessation!
ReplyDeleteSecession ni hali ya kutaka kujitenga kutoka kwenye chombo fulani, jumuiya au muungano hasa wa kisiasa.
ReplyDeletePemba "Secessionists" released = Wapemba wanaofanya mpango wa kujitenga (Wahaini)waachiwa huru.
Pemba 'sessation' plan: more suspects arrested= hapa wamekosea neno sessation, lilitakiwa liwe 'sessetion' na kwa pamoja lilete maana ya kuwa "Mpango wa kujitenga Pemba: watuhumiwa zaidi wakamatwa".
Njaps
Kwako Kithuku, umelalamikia sentensi hii "THE LEADING MOBILE COMPANY IN TANZANIA THAT VALUE AND LISTEN ITS CUSTOMERS"! umesema ina walakini.... umeishia kuponda tu... tafadhali tuambie ingeandikwaje?? binafsi bado naona ipo sawa please!!
ReplyDeleteBy mdadisi!
Ingawa kujitenga sio suluhisho la tatizo ila Wapemba wana haki kudai kujitenga maana wamechoka na Serikali ya Zanzibar.
ReplyDeleteKisiwa cha Pemba hakina maendeleo kabisa lakini wao ndio wachangiaji wakubwa kwenye uchumi wa Zanzibar. Wapemba hawapati ajira Serikalini Zanzibar. Hii ndio maana wapemba wengi wanakimbilia Bara.
Serikali inabidi isikilize kilio cha Wapemba. Hivi Serikali haijawhi kujiuliza kwa nini CCM hakina hata kiti kimoja Pemba? Na bila Serikali ya mseto ina maana Pemba haitawakilishwa kwenye Baraza la wawakilishi na wataendelea kugandamizwa maisha yao yote.
Kama serikali ya muungano haiwezi kuingilia na kuwasaidia, basi waache wajitenge.
Kabla ya kuanza kukosoa jitambue kama unajua maana ya hizi alama "na' ndipo ububujike yako maneno. Yote kwa yote, tukiziondoa hizo alama, mwandishi wa gazeti la kwana anamaanisha WAHAINI na wa gazeti la pili alikusudia kumaanisha UHAINI. Wa pili amekosea spelling.
ReplyDeleteWadau, hivi 'spelling' kwa kiswahili ni nini? Tafadhali...
Seve
Anon, may 18, 9:14 PM,
ReplyDeleteI think Kithuku anataka iandikwe hivi " THE LEADING MOBILE COMPANY IN TANZANIA THAT VALUES AND LISTENS ITS CUSTOMERS"
Kwa sababu "company" imesimama kama "third person singular katika "simple present tense"/kitendo kifanyikacho kila siku (daima).
Kama ingekuwa "companies" basi ingekuwa sahihi kama ilivyoandikwa
Lakini mie sijui "kikristo" aka lugha ya Bibi au ki english. Nimejaribu kutafsiri kwa kikojani.
THE LEADING MOBILE COMPANY IN TANZANIA THAT(could have been WHICH) VALUES AND LISTENS (TO) IT'S CUSTOMERS... Now what was sohad about that??? TO is the missing link na wabongo mshazoea kuweka mikato kwenye kila kitu mnaharibu hadi lugha za wenzenu... Acheni kusinzia darasani mtaendelea..
ReplyDeletematatzo ya Pemba wachieni wapemba na zanzibari kwani dar sio pemba wambieni wajenge kwao na wache kulalamika na kungoja maendeleo toka kwa serikali jengeni kwenu maendeleo yananza na wananchi wenyewe halafu serikali inamalzia nendeni shule jaribuni kujenga pemba na sio dar halafu leteni matatizo yenu hapa tujadili kwani sisi sasa tumechoka kuna matatzo hata sumbawanga au shinyanga lakini hatulaumu rais wa nchi kila jambo na kama wapempa wantaka sultani wapeni kwani CCM iliwapa uwezo wa kula ya maoni lakini CUF wakasuasua sasa mnataka nini? jamani? wapeni UHURU WA KUTAWALIWA NA SULTANI WAACHENI WAENDE HAOKILA SIKU MUAFAKA KAMA CUF INATAKA MAENDELEO KEANZA INZA KWA KUJENGA HIZO SHULE NA KUOMBA MISSADA YA MAENDELEO NA SIO KLA SIKU NI SIASA AMKENI JAMANI HAO CUF WALA CCM WATAWALETEA MAENDELE MPO WENGI SANA NCHI ZA NJE AZENI KUFIKIRIA MAENDELEO NA SIO MALUMBANO HAMTAENDELEA HATA KIDOGO JENGENI NYUMBANI
ReplyDeleteMPEMBA HALISI
I’m not an English language teacher but I think all authors of these two articles are right depending what they’ve intended to mean.
ReplyDeleteAs for ‘cessation’; this means ‘ending’ or ‘stopping’ [source: http://dictionary.cambridge.org/define.asp?key=12315&dict=CALD]
Pemba ‘cessation’ plan: if the author of this headline tends to mean ‘ending’ or ‘stopping’ the plan of creating Pemba as an autonomy then I don’t see any reason why it is wrong. Unless, the author confessed to make spelling mistakes by writing ‘cessation’ while he/she meant ‘secession’ [which means an act or instance of seceding [source: dictionary.com]]
English can be very confusing language sometimes but can even be more confusing and complicated if you complicate it. Keep It Stupid Simple [KISS] would do a trick!
Rules of English language are not written in a stone, like rules of chemistry.
Mzee Wauyagauyaga
Michuzi unatutega, unawatania wahariri kupitia maoni yetu, acha hizo
ReplyDeleteSeve neno "spelling" kwa tafsiri ya kiswahili ni "tahajia".
ReplyDeleteILITAKIWA IWE HIVI.."..THE LEADING MOBILE COMPANY IN TANZANIA THAT VALUE AND LISTEN(S).."..mimi sio kastama lakini naomba kusikilizwa..mei bi na mimi nitajiunga kwenye mtandao...
ReplyDelete