Home
Unlabelled
amanda akiwa ho chi ming city
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ALL THE BEST,AMANDA!!!Nafurahi wewe unaiwakilisha nchi yetu na sio mdosi tena.
ReplyDeleteMwambie Sarungi amwambie Amanda kuhusu hiyo minywele ya kubandika itaharibu...vitu vingine natumaini vp poa kivile
ReplyDeleteNamuunga mkono huyo annon hapu juu,ni kweli huyo dada wa kimasai atoe hiyo minywele maana uasili wake anautoa,,Sarungi kwani uoni bwana?
ReplyDeleteminywele mingi hebu aitoe bwana. Hana hasili yeyote na minywele hiyo aka horse hair. Natural is best. Hamuoni Flavian stood out all alone kwenye Miss Universe ila gauni lilimwangusha.
ReplyDeleteNywele za Kuvaa kichwani ni sawa kabisa na Kofia kwa Wanaume,Acheni ushamba jamani,kujifanya mnajua saaaana!Mtu akisha kuona umbile lako kesha jua una nywele za aina gani hata ukiamua kunyoa kipara!Amanda kweli ni Mzuri jamani!Naamini atafika mbali sana!
ReplyDeletekwa kweli atoe nywele za bandia ili apate chati kwa taarifa zaid wanaume wengi wanapenda watu natural sio waliojiongezea madude
ReplyDeletemaria sarungi ,huyo dada ni mzuri ila uatificial mwingi unaweza kumuangusha mshauri afanye kama nakaaya sumari
we hapo juu, ujue kwamba amanda ameenda kwenye mashindano ya urembo si kutafuta mchumba/mwanaume.
ReplyDeleteUrembo ni art na art unaweza kuongeza vitu vya ziada ili kupendezesha zaidi.
we hapo juu, ukumbe kwamba Amanda ameenda kwenye mashindano ya urembo na sio kutafuta mchumba/mwanaume.
ReplyDeleteurembo ni art na kwenye art inaweza ongeza vitu vya ziada ili kupendezesha kitu zaidi. sema tu ni nyingi sana. she looks good though