Pole na kazi pia hongera kwa kutupa habari mbalimbali kupitia blog yetu hii ya jamii.Naomba kupitia blog yetu ya jamii unifikishie ujumbe huu kwa watanzania wenzagu popote walipo.
Nimetengeneza "video tutorial" inayoelezea jinsi ya kutengeneza kitafutio cha mitandao "create your own search engine in seconds".
Mtu yoyote unaweza(sio lazima usomee) kutengeneza kitafutio cha mitandao "search engine".
angalia video kwa maelezo zaidi jinsi ya kutengeneza,video link hii hapa
Gonga hapa kuangalia video
Kwa mfano:Nimetengeneza "Kitafutio cha Michuzi Blog" kinatafuta habari zote zilizopo ndani ya Blog yako,za zamani na sasa.Unaweza kujaribu tafuta habari
kwa kufungua hii link Gonga hapa "kitafutio cha michuzi"
Mimi Mdau wa Blog yako.
Mimi Mdau wa Blog yako.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...