kikosi kamambe cha daily news na habari leo kwenye banda lao la maonesho ya sabasaba lililopo jengo la pta mtaa wa pili karibu na banda la kenya. pamoja na mambo mengine hapo utakuta mapicha kibao mapya na ya zamani katika fani mbalimbali. pia yanga na simba za enzi hizo wapo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2008

    TSN, what are you up to? Baaday ya Arusha you want to participate in every show that comes around? Andikeni habari na kutafuta matangazo. Acheni kujikita kwenye mambo ya wafanyabiashara. TUNATAKA KUPATA HABARI MOTOMOTO, EBO, MNAKULA KODI ZETU ATIII!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. MHARIRI WA GAZETI HILI ALIPOTOA MAONI KWAMBA WATANZANIA WASIFIKIRI SULIVAN SUMMIT LILIKUWA NI GULIO LA BIASHARA ZAO NILIMFURAHIA SANA. HII ILIKUWA NI NAFASI YA KUDILISHANA UTAALAMU MBALIMBALI JUU YA UZALISHAJI NA MENGINEYO MENGI

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 30, 2008

    EEe bwana Michuzi ee, yule demu mzuri mzuri, mweupe mwenye miguu mizuri aliyekuwa kule arusha kwenye banda lenu wakati wa SULIVAN yupo na hapa kwenye banda lenu sabsaba?
    Mie nataka kuja kwenye banda lenu kwa ajili ya kuja kumuona yeye tu, tafadhali.
    Nifahamishe kama yupo nije.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 30, 2008

    Mr Michuzi nakutegemea sana kwa mapicha ya sabasaba kwani sitaweza kuhudhuria mwaka huu.

    malisa

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 01, 2008

    Michuzi nawe siku hizi unauza sura!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...