Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wa Kuhamia Dodoma nani,Nyau we!Halafu ile Bahari utaihamishiaje huku Dodoma!Kwanza Mimbuzi yenyewe isha anza kwisha.Nenda Maili Moja kule kama utapata hata Sikio Moja la Mbuzi, kulipata uwe na bahati ya mtende kuota jangwani.Hebu Pindisha huko nsikutie machoni kibiriti wewe,aku!
ReplyDeleteach matusi anon wa 1
ReplyDeleteach matusi anon wa 1
ReplyDeletePinda ni kweli umeanza kupinda. hoja ya kuhamia dodoma ni ya muda mrefu 1973 sidhani kama kuna haja ya jamii kutoa maoni. jambo hili haliwezekani kwani dalili zinaonyesha hata wakati wa bunge ikifika ijumaa mashangingi yote yanaelekezwa dar wakati posho zimechukuliwa na mafuta yanatumika ya wananchi. hoja hii ni matakwa ya ccm kwani wanapata unafuu wa kuendesha vikao vyao kwa kutumia hela ya serikali wakati wa bunge. ebu acha kutukumbusha machungu ya dodoma.
ReplyDeleteNantombe
Moshi