Home
Unlabelled
kris takka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MMh michuzi sasa hapa unatupiga chenga la macho, huyo si ni wewe kabisa hapo...........au ndio mambo yetu yale ya mkuu wa mko wa tegeta??
ReplyDeleteTanzania kwa kukopi. Tushakopi utamaduni wa Kijapani wa Geisha girls.
ReplyDeletehapo sas mthupu unatupeleka peleka....!
ReplyDeletekonozzzzz umetwanga weye kisha watwambi eti chiris takka.ama ndo speed ya sulivan????
*KISODA*
HAPO KAKA MICHU UMENIMALIZA KABISAAAA.
ReplyDeleteSURA YAKO YA KIBANTU HALAFU WATUDANGANYA KRIS TAKA. WACHA MUCHEZO.
ha ha ha ha kriss taka!!nimecheka sana misupu!anyway naona unapiga mikonozzzzz a town!!i miss the tisheti piga hata siku moja wadau wa sulivani waisaminishe!!
ReplyDeleteMmh!! Utawahi!! Wewe ni wa Tegeta tu!!
ReplyDeleteAAAaaah! kumbe huyo ndie Kris Takka mwenyewe wa bongo?!!!
ReplyDeleteMenilifikiri yule wa Marekani, michuzi nawe kwa konoz tu, hujambo!
Michuzi huyu Nakaaya amekupa nini!!kila siku anakuwa kwenye blog!!kweli nimeamini biashara matangazo,maaana huyu dada naona yuko kwenye soko..na huko kichwani sijui kaweka ni yarabi au ndio kumuiga Miriam Makeba Teh teh teh!!!!??
ReplyDeleteaisee familia ya sumari ina watoto wazuri hivi,dah!
ReplyDeletemiss keys
Mbona huyu Kris Takka anafanana sana na jamaa mmoja wa bongo anaitwa Misoup, mkuu wa kaya ya Tegeta? Au huyu ni Kris TAKA?
ReplyDeleteNiseme nisiseme?Hako ka kulia mwa picha au kushoto mwa huyo mbaba nilisha.........
ReplyDeleteDefinetly Kris Taka in year 2020
ReplyDeletedu! hongereni madada wa kichaga..sura zenu ndefu zimenifanya nijue nyie wachaga tu na dizaini ya vichwa vyenu.
ReplyDeleteJirani mdaku
WEWE ACHA USHAMBA, TAFUTA JINA LAKO AMBALO LITAKUTAMBULISHA WEWE. KAMA WEWE MBOGA YA MAJIMAJI. SISI WANAINCHI WAKO WA TEGETA, TUNAKUITA(MBOGA YA MAJIMAJI)
ReplyDeletesaffiiiiiiiiii kabisa kris takka wa ku kopi
ReplyDeleteMsupu bwana! Wewe mmatumbi tosha!!
ReplyDeletehaya bwana
ReplyDeleteChris Taka Taka.....
ReplyDeleteMisupu, Hii ya leo Kali mtu wangu, mbavu sina!
acha uzushi Kris takka gani?
ReplyDeleteHe he Kris Hataki...LOL! ushabadilisha jina mara tu!!! Wabongo bwana!!!!...na huyo asiyekuwa na nywele mwambie mwanamke nywele babu...kila nikimuona humu nadhani nani hii.....
ReplyDeleteNiweke japo pembeni nami nionekane
Yeah rite.......nice try misupu. But n e wayz say hi to the lady on your left, she's alluring.
ReplyDeleteMdau T-Dot
HALAFU WE MISUPU KILA PICHA UKO NA HUYU DADA,NAKAAYA NAKAAYA KWANI HAKUNA WADAU WENGINE KILA SIKU HUYO TU???? AU USHAANZA KU.......NINI???
ReplyDeletejamani nakaaya huwa anapendeza sana na kipara chake. nakufagilia kichwa chako kwa kipara ndo mwake ila sio wote wanaonyoa kipara wanapendeza.
ReplyDeletemisupu umeniacha hoi.
ReplyDeleteMs Bennett
we anony wa 4th june 07;02 hao si wachaga from when wachaga wakawa hivyo?????????hao ni wamasai upande wa mama na wameru upande wa baba lol.Eti wachaga?si mpaka
ReplyDeletehalafu we unampenda huyu nakaaya...piga nafide basi mtafute bwana tuwekee kwa karibu
ReplyDeleteyule ni chris tucker na huyo ni Kris takka wa sullivan acheni ubishi wabongo...teteteee mithupu naona jino kwa jino na nakaaya mpaka sullivan ikisha itakuwa kimeeleweka...
ReplyDeleteKonoooooz!Mze si useme tu kama umesha JIKWAA hapo tujue na tukupe pole?Mmmmmmmmh maana mara ya pili hii katika masaa 48 nakuona na huyo kimwanaaaz,eeh bwana weee!Hilo Kono linanipagawisha,kulikoni?Hayo tuyaache,sema sasa umepiga BAO NGAPI? Au mechi ilikabiliwa na Ukame wa Magoli? Usimzingizie Maximo baba wa watu, aaaku!Uliyataka mwenyewe Michuuz, Mze wa Konoooooooooooooooooooooooooooooz!Konoooz Ze Totoooooooz ze Poazzzzz!Sullivan hiyo Mzee kumbe je!
ReplyDeleteHivi,kuwa mchaga ni dili? Sikujua mie!
ReplyDeletewadada mmependeza ni wazuri nakaya umependeza sana ila hiyo nguo sijui kama ni ndevu kwani unapendega kutuonyesha hizo zimiguu. haya na huyu chris takka kafanana na mirojo kweli hivivi kwani nimemuona mirojo kwenye maonyesho ya sulvan live yani kama mtu na mapacha.
ReplyDeletesweet,
Arusha.
Nakaaya:Kipara everywhere on your body?Unapendeza sana we binti,mungu akuongezee nguvu.
ReplyDeletewachaga nani kasema, hawa wamasai bwana wachaga wazuri
ReplyDeleteMmmmmh sasa mambo ya ukabila humu yanatoka wapi tena!!?hivi sisi tunakuaje hapa tena,mwishowe ooooh FISADI,ebu tuache hii!nani kasema kabila fulani wazuri wengine wabaya?kabila zote poa,ni wewe tu unazitumiaje!
ReplyDeleteMichu big uuuuuuuuuup bro sometimes yes,konoooz kama kawa kaka.
Mdau
huyo chris mbona mfupi?na pua kama papa wemba?babu noooooma.mikonoz kwa nakaaya is too reachable babu.
ReplyDeleteKweli wewe ni Kris "TAKO"
ReplyDeletepembeni kulia kuna picha ndogo ambayo chini yake imeandikwa jina issa michuzi naona hiyo sura imefanana sana na huyu kris takka naona watakuwa ndugu au mama mmoja tumbo mbalimbali
ReplyDeleteMbega Mweupe