Greetings!..
Could you please do me a favor of advertising baby sitter in Columbus Ohio...
There will be a baby sitter that day so whoever is planning to come done in Columbus with a kid and need some baby sitting assistance please have them contact Gloria @ phone number 614-499-9514
or for any info contact any host/Organizer of Old skool party
-- XoxoTwitwi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2008

    Sasa jina lenyewe XOXO TWITWI unafikiri tutakuleta watoto wetu ubabysiti kweli? jina lenyewe tu linaonyesha usivyokuwa siriazi....jamani watu mlio siriazi tangazeni majina yenu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 01, 2008

    hizo namba za katikati ni 499 ama 599?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 01, 2008

    miss XoXo Twitwi nafikiri umekosea namba yako ya simu embu angalia kuna namba umekosea kuiweka badala ya 499, hii inaonyesha huwezi kutunza watoto wetu. jamani tuwaache hukuhuku kwetu!
    mdau wa canada

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 01, 2008

    wadau wa columbus, Is it baby sitter or baby seater!
    tusaidianeni kwenye kizungu, bora tujiandikie kiswahili tusichemshe! halafu huyu dada madarasa kaenda, kamaliza st.mary hivyo.......

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 01, 2008

    mdau 3.42 am acha ushamba..ni baby sitter hio seater umeitoa wapi??
    bora ukae kimya kuliko kuongea ushamba wako..

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 01, 2008

    mdau wa 1:48am nahisi hizo namaba za katikati jibu ni b=599
    mdau wa 3:42: huyu xoxo amepatia ni baby sitter, hata mimi nilikuwaga najua ni baby seater, ila nilijua tofauti ya kimarekani na kiingereza!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 01, 2008

    Mdau wa 3:42 sasa hapo tumsaidie nani naona tukusaidie wewe maana lugha umeisomea chini ya muembe hiyo seater yako umeotolea wapi au nani kakudanganya mambo ya kucopy haya taaaabuu! Mdau wa Columbus uko sawasawa waache hawa ambayo ili mradi waandike utumbo humu. Thanx

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 01, 2008

    AGAIN ANAJITOLA MTU KUKUPENI FURSA MLE GOOD TIME KWA KUWARAHISISHIENI SWALA LA WATOTO, NA LABDA NAE AJIPATIE VIJISENTI (MAANA MKO KWENYE AGE YA KUWA NA WATOTO "OLDSKUL") BADALA YA KUSHUKURU, MNAVUTANA MASHATI NA KUFUNDISHANA KIINGEREZA HIVI SISI TUTABAKI HIVI MPAKA LINI?
    BIG UP BEBISITA, AND BIG UP OLDSKOOL PARTY!!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 01, 2008

    Michuzi!
    Aliyeweka hiyo namba amekosea. Gloria's number is 614-599-9514. Huyo dada ameorganize watu wa kubaby sit for that event maana na yeye kwa kujirusha hajambo.Nimeongea nae na wala she didn't know kuwa namba yake imewekwa humu.

    Neema.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 01, 2008

    Huyo ni kweli anaitwa XOXO,mi namfahamu ni Mxhosa huyo.Hata Zemarcopolo anamfahamu pia...

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 02, 2008

    some one need help..hizi mtu xoxo is not her name thats just like saying bye bye...with a big smile...michuzi apart from adding video clips ongeza column ya english course just a basic i ll provide some materials cuz naona hii kitu imekua tatizo sugu ghafla

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...