niko na mdau rajhoma tambwe wa washington dc na mai maza wake kwenye lanchi ya usiku ya sullivan usiku kuamkia leo huko ngurdoto. wadau wengi wa marekani wamehudhuria mkutano

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2008

    Bwahahahahaaaaa, michuzi unanchekesha mie mwana wa kisukuma. ""kwenye lanchi ya usiku ya sullivan"" hata na sisi huwa tunakula lanchi usiku!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2008

    woooooooooow i can see the tambwe's representing!!!!!!.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 06, 2008

    NICE PIC.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 06, 2008

    Michuzi you are really a Lunatic.Lunch ya usiku ndio nini? You really made my day.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 06, 2008

    hapo bwana Michuzi umechapia hasa "lanchi tangu lini ikaliwa usiku"? Daily news?????

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 06, 2008

    mama mkwe sio mama yake minah huyo

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 06, 2008

    Michuzi umekuwa ukisema wadau kibao wa marekani wamehudhuria huo mkutano, mbona huwasemi wajasirimali na mababda yao.sasa hao wadau wa Wamarekani wamekuwa na banda lao na wamekuja kutuonysha nini au ni kutafuta umaarufu tuu maana sioni lolote la kuwasifia kama product zao ilikuwa ni kutafuta mabibi. tunaomba pia utoe picha za wajasirimali.Na huyo ni mama mkwe wake raju siyo mama yake mzazi.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 06, 2008

    WAKUBWA KILA MARA MI NIPITIAPO HABARI KWENYE HII BLOG YA JAMII NAJIULIZA SWALI HILI KAKA MICHUZI ANAPOANDIKA KWA MFANO NIPO NA MAI WAIFU WAKE AU NIPO NA MAI MAZA WAKE ANASAVE NAFASI AU NI NINI KWANI MFANO KUANDIKA NIPO NA MKE WA JUMA INAKUWA NDEFU AU??????? NIPO NA MAI WAIFU WAKE AU MAZA MI HAINIINGII AKILINI NAELEWA ANAMAANISHA NINI HILO HAIJAKAA VYEMA KWA MAONI YANGU.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 06, 2008

    Hey Alfa... Mistew anafanya hivyo just for FUN, not big.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 07, 2008

    Samahani kaka misupu,

    Huyu Tambwe ameoa tayari ama bado? Kama bado niunganishie basi mimi dada yako. Check naye basi halafu kama vipi, nitakutumia CV yangu ya maisha aicheki, huwezi jua naweza habatika. Hata kama kaoa na anataka kuongeza, mwambie nipo tayari.

    Midaz basi, zingatia hili tafadhali.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 08, 2008

    huyo mbona siyo mama yake Raju, labda shangazi or mama mkwe kama mlivyosema. anywho, Raju umekuwa siku hizi....umekuwa mkaka wa nguvu

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 09, 2008

    Anon hapo juu pole sana ameoa tena ameona rafiki yangu kwa hiyo cheza mbali pleaseeee.mynah mwambie tutampiga vichwa huyu ohhhh

    PK

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 02, 2008

    michuzi wambie wanaomtaka tambwe, ameshaowa kitoto safi kinaitwaa mynah ukimuona utasemwa YES! sasa angalia usije ukafanywa part time snacks.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...