Kwa mara nyengine tena Tamasha la kumi na moja (11) la nchi za Jahazi litafanyika Zanzibar kuanzia tarehe 11 hadi 20 Julai ya mwaka huu wa 2008.

Tamasha la mwaka huu litabeba ujumbe unaofahamika kama ‘Culture Crossroads’ ikiwa na maana ya mikinzano ya utamaduni. Hii ikiwa ni kukumbusha mahala ambapo jamii ya nchi za Jahazi inapotokea na jinsi ambavyo ilivyochanganya utamaduni kutoka karibu ya kila pembe ya dunia

Mgeni maalum katika tamasha la mwaka huu anatarajiwa kuwa ni Ramsey Noah, msanii maarufu wa maigizo kutoka nchi ya Nigeria.
Ramsey Noah aliyezaliwa mwaka 1973 ni muigizaji maarufu ulimwenguni anayefahamika sehemu kadha ikiwemo hapa Tanzania kutoka na uahiri wake wa kuigiza, miongoni na filamu zake zilizomjengea sifa ni pamoja na To Love an Angel (2007), Consequences (2006), Dancing Heart (2006),
Different World (2006) na Under the Sky (2006).
Katika tamasha la mwaka huu zaidi ya filamu 50 zinatarajiwa kuonyeshwa. Miongoni mwa filamu hizo ni pamoja na Behind this Convent (2008) iliyotengezwa Rwanda, Hero - wings are not necessary to fly (Spain) ya mwaka 2007, Pukwa (2008) nchini Kenya, The Great Silence (2008) USA, One Day (2006) Norway, Jando (2006) Tanzania, An Islamic Conscience the Aga Khan and the Ismailis (2008) UK na The Princess from Zanzibar (2007) German.

Mbali ya filamu katika tamasha la mwaka huu pia kutakuwepo na vikundi zaidi ya 30 kutoka Tanzania, Msumbiji, Malawi, Comoro, Kenya, Uganda, Zambia, Zimbabwe na kutoka bara la Asia.

Katika tamasha la mwaka huu vikundi vyote vya muziki vitakavyoshiriki vitawezeshwa na ZIFF kuweza kutumia vifaa vya muziki moja kwa moja bila kutumia play back wanapokuwepo jukwaani.

Kama kawaida tamasha la mwaka huu pia kutakuwepo na jukwaa la vijijini, wanawake na watoto ambapo filamu, warsha na maonyesho kadhaa yatafanyika katika majukwaa hayo.

Tamsha a nchi ya Jahazi ni tamasha kubwa la utamaduni na filamu katika Afrika Mashariki na kati linalofanyika kila mwaka mara moja tokea mwaka 1998.
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu
http://www.ziff.or.tz/ or wasiliana na;

ZIFF Media and PRS Office

Tel: +255 (0) 777 411499

Fax: +255 (0) 777 419955
Website:
http://www.zanzibar.org/ziff

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2008

    DC wa tageta nna swali nimesoam habari fulani nasikia kuna mashauri ya zogo la baba wa kambo?na watoto wake uniletewa uwamulie nani mwenye makosa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2008

    Michuzi,
    Kweli tudumishe utamaduni, kwani huko wa wakwe, kijana ampeleka jandoni babaye aliyekwepa kisu akiwa kijana na sasa mzee mzima anadai 'kakua na ni mwanaume halisi baada ya kuonja makali ya kisu cha jando', habari zaidi soma hapa chini, tudumishe utamaduni:

    Mujoroto now a ‘total man’
    Friday, 27th June, 2008 E-mail article Print article
    Source: http://www.newvision.co.ug

    Mujoroto just after he was circumcised in Nsambya

    By Godfrey Kimono and Ronnie Kijjambu

    Stephen Mujoroto, who was forcefully circumcised in Kampala, says he will not sue the militant youth who ambushed him for the cultural ritual.

    Mujoroto referred to them as poor youth who would not have money to pay him if he sued and that his son was among them.

    He was also heard bragging to his colleagues at Uganda House that he is now a ‘total man.’

    Despite facing the knife on Wednesday, Mujoroto reported for duty at Uganda House on Thursday.

    Dressed in a white shirt and black trousers and walking with difficulty, Mujoroto was congratulated and teased by colleagues.

    His “arrest” on Wednesday, which stopped traffic on Nasser and Nkrumah roads, followed a tip off from relatives that Mujoroto had for long dodged the imbalu, Bashir Mubajje, who led the attack, said. Well-built Gisu youth including Mujoroto’s son-in-law, grabbed him by the trousers at Canaan restaurant at Uganda House at about 11:00am.

    A staunch UPC supporter and former Nsangi sub-county chief during the Obote II regime, Mujoroto was transported in a special hire taxi to Nsambya, where he was circumcised at about 1:00pm by a Gisu surgeon, Akim Nagweri. “He paid the debt of facing the knife as the culture requires at Nsambya, opposite Besigye’s Patrol Station on Gaba road,” Mubajje said.

    At Uganda house, there were reports that the group had been hunting for Mujoroto the previous day, and that he had gone into hiding after a tip-off. Mubajje said they sent emissaries, including his elder sisters, to persuade him, to no avail. Mujoroto is said to have disguised himself as a Muganda from Mityana, yet he was born in Buduuda.

    His given name is Stephen Wateya.

    Mubajje said they were surprised Majoroto left home on Thursday morning, because culturally, men get three days’ rest after the procedure. He wondered why Mujoroto had evaded the circumcision yet “he is a brave man.”

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2008

    Michuzi,
    mwana ampeleka babae jandoni huko Uganda, na mzee mzima baadae akiri kuwa sasa ni 'mwanaume halisi' soma zaidi hapa chini:

    Mujoroto now a ‘total man’
    Friday, 27th June, 2008 E-mail article Print article
    source: www.newsvision.co.uk

    Mujoroto just after he was circumcised in Nsambya

    By Godfrey Kimono and Ronnie Kijjambu

    Stephen Mujoroto, who was forcefully circumcised in Kampala, says he will not sue the militant youth who ambushed him for the cultural ritual.

    Mujoroto referred to them as poor youth who would not have money to pay him if he sued and that his son was among them.

    He was also heard bragging to his colleagues at Uganda House that he is now a ‘total man.’

    Despite facing the knife on Wednesday, Mujoroto reported for duty at Uganda House on Thursday.

    Dressed in a white shirt and black trousers and walking with difficulty, Mujoroto was congratulated and teased by colleagues.

    His “arrest” on Wednesday, which stopped traffic on Nasser and Nkrumah roads, followed a tip off from relatives that Mujoroto had for long dodged the imbalu, Bashir Mubajje, who led the attack, said. Well-built Gisu youth including Mujoroto’s son-in-law, grabbed him by the trousers at Canaan restaurant at Uganda House at about 11:00am.

    A staunch UPC supporter and former Nsangi sub-county chief during the Obote II regime, Mujoroto was transported in a special hire taxi to Nsambya, where he was circumcised at about 1:00pm by a Gisu surgeon, Akim Nagweri. “He paid the debt of facing the knife as the culture requires at Nsambya, opposite Besigye’s Patrol Station on Gaba road,” Mubajje said.

    At Uganda house, there were reports that the group had been hunting for Mujoroto the previous day, and that he had gone into hiding after a tip-off. Mubajje said they sent emissaries, including his elder sisters, to persuade him, to no avail. Mujoroto is said to have disguised himself as a Muganda from Mityana, yet he was born in Buduuda.

    His given name is Stephen Wateya.

    Mubajje said they were surprised Majoroto left home on Thursday morning, because culturally, men get three days’ rest after the procedure. He wondered why Mujoroto had evaded the circumcision yet “he is a brave man.”

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 30, 2008

    bro michu
    umebana coments zangu? ZIFF wanakupa 10% nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...