Pole sana na majukumu ya huko Arusha.
wakati tunaangalia mechi kati yataifa stars na morishaz kwenye wanja jipya, ile TV ya uwanjani ilikuwa haifanyi kazi na hatujui tatizo lilikuwa nini?
MdauRhxoqsa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2008

    Ohooooooo tenaaaaaa maraaa tu ufisadi na hapo tena!! Aisee labda kuna maelezo yatatplewa tusubiri wenye uwanja waseme kitu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 03, 2008

    Mzee ni kweli nami nilikuwepo, hayo ndo mambo ya kichina" substandard' ninawasiwasi hata na viti na mambo mengine kama nayenyewe hayako kama TV hiyo. inabidi tufuatilia kuona defective period( jengo) or gurantee ni muda gani(vyombo). Kazi kwenu wadau

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2008

    Kazi gani?

    ReplyDelete
  4. pole sana mdau.

    taarifa kutoka TFF zinasema TV lilishindwa kuwasha kutoka na "rimoti control" yake kuishiwa battery.

    Tatizo ni ukubwa wa remoti ni sawa na jeneza na saizi ya betri ni sawa na tunda aina ya fenesi.

    jitihada zinaendelea kutatua tatizo hilo.

    nawakilisha

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 03, 2008

    DUH! HUU NDIO UWANJA MPYA?AISEE BONGO HAMJAMBO!... UJUE I HAVE BEEN AWAY FOR SOME TIME NOW,SIAMINI MACHO YANGU HAPO TEMEKE UWANJA WA TAIFA..SAFI SANA

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 03, 2008

    Wewe umefuata TV au umefuata mechi. Acheni maneno yenu hapa uwanja wenyewe umelazimishwa huku ukiwa bado haujakamilika kwa njaa za TFF.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 03, 2008

    Hiyo TV ya hapo uwanjani nasikia imeghartimu mabilioni ya pesa hivi ni kweli? je Michuzi unaweza kutuambia ni kiasi gani Exactly gharama ya Hiyo Luninga hapo uwanjani....?
    Na kama ni kweli kuwa imegharimu mabilioni ya shilingi basi itakuwa ni ujinga tukishindwa kwenda kuwasomesha watu kadhaa kwa mamilioni kadhaa jinsi ya kuweza ku-operate TV hiyo ... maana tutakuwa tunaitumia chini ya uwezo wake na hapo hatutapata gharama halisi ya Luninga hiyo

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 03, 2008

    inawezekana na ndivyo ilivyo wadau wanabania matumizi ya umeme ili warekebishe kwenye mapato we huoni hata mechi hazichezwi tena usiku!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 03, 2008

    tv ilikuwa na tatizo dogo tu, si ilikuwa haiwaki tu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 04, 2008

    Kumbukeni kwamba hata uwanja wenyewe bado haujakabidhiwa rasmi kwa serikali,ni shinikizo la FIFA ndilo lililoifanya serikali ikaamua kuruhusu matumizi ya uwanja huo.ILA NAOMBA KUWAPA TIEFUEFU USHAURI WA BURE KWAMBA MATANGAZO YA WADHAMINI WASIWEKE KARIBU MNO NA PITCH,HUO NI USHAMBA KWANI MWISHO WA SIKU WANATUNYIMA RAHA WASHABIKI KWANI TUNAONA MPIRA UKICHEZWA KATIKATI YA UWANJA,ILA UKIAMIA PEMBENI KWA MAANA WACHEZAJI WAKISOGELEA KARIBU NA MAJUKWAA BASI HUONEKANA KUANZIA MAGOTINI KWENDA JUU.PIA VIINGILIO VYA MECHI YA STARS VS CAMEROON NI SOO KCC KUWEKA BUKU TANO NI KUUMIZA WANANCHI AU KISA ETO'O MAANA TUNAJUA SIKU HIYO(14/06/2008) TUTACHEZA UGENINI

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 04, 2008

    We fala nin i???,

    Umekuja kuangalia mpira au TV,

    Kwani TV kwenu hakuna??

    Acha ushamba, kama unataka TV ungebaki kwenu,

    Au mbovu??

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 04, 2008

    TFF LETENI MATCH KIRUMBA KAMA MNATAKA STARS IFANIKIWE MAANA KIRUMBA TUNA BAHATI NAYO. ACHANNENI NA NASHNO SITADIAM

    MBELEMBE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...