Home
Unlabelled
ukumbi wa aicc
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ukumbi mzuri sana kwakweli.
ReplyDeletesweet,
Arusha.
WAMEJITAHIDI IMEKAA FRESH AS A P..
ReplyDeleteMISS KEYS
wamejitahidi kwakweli,ukumbi luks fresh as a p..
ReplyDeletemiss keys
kweli ukumbi ni mzuri sana na unavutia ila mazao yake sasa baada mkutano yanafanana na ukumbi? nini faida zake kwa wawezeshaji wanaokaa humo? au ni wakati wa posho na kusinzia tu? hicho ndio cha msingi kwa wadau kuangalia,faida zinazofanyika humo ndani ziendane na huo uziri wa ukumbi
ReplyDeleteYes,sasa kweli Ukumbi una hadhi ya Kimataifa,hongera sana Wakuu!Polepole tutafika tu.Tupiganie sasa World Trade Centre waje wafanyie Mkutano wa Mwaka Hapo AICC SIMBA HALL,mambo yatajipa au siyo?na kabla Kikwete hajaachia ngazi ya Uenyekiti wa Afrika afanye chini juu Mkutano wa Wakuu wa Nchi zote za Afrika unafanyikia hapo Arusha.Kwa hiyo Wazee wa Arusha chomeni ubani kwa wingi na kaeni mkao wa kula!
ReplyDelete