wadau kibao wapo hapa a-taun kwenye mkutano wa sullivan

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2008

    namuona Chris Tucker wa pili toka kulia na wadau wengine waliopo Arusha kwenye mkutano wa nane wa Leon Sullivan!
    teh teh teh teh!
    raha sana........

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2008

    Haya tuambieni Arusha Kuku wangapi waliouawa bila ya ridhaa yao?Konoooooooooooooooooooooooooz!Nakuona hapo sijui hiyo ndiyo ile 'Magnificent Six-lead actor Ze Konoooooz' au ni ile ya 'Dirty Six' ambayo ilikuwa shot kule Sullivan Hills Arusha na itatoka hivi karibuni?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2008

    Michu vipi??watu wale wale kila siku!!!WHY?The same smell,the same sh*&$&*??Tumewachoka leta picha za watu wengine it stinks!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 06, 2008

    Ndg yangu weee hiyo Mifisadi mitoto kama yeye ndo maana anaifagilia!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...