

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndugu Michuzi...
ReplyDeleteMimi ni mdau wa hii blogu ila sijawahi kutoa comment hata siku moja..nilivyoona hii ya mazengo ..imenifanya nijichanganye ...umenikumbusha assembly hall..nimenyolewa hapo hapo paper ya kidato cha sita ..wakati huo tulikuwa tunasoma vitabu vikubwa vya baiolojia vinaitwa mikate..yaani volume one na two......!! Nimefurahi sana ...wadau nao najua watafurahi sana ...
Maganga,MacDonald...Mazengo complex 1995-1997
WOW!! THIS IS MY SCHOOL, I DID FORM SIX EGM COMBINATION YEAR 1983/83 TO 1984/85 THERE ANYBODY OF THOSE YEARS PLEASE CONTACT ME, MY NAME BY THEN I WAS BEING CALLED EDWARD ALEX, NOW ADDED MY CLAN NAME SO I AM CALLED EDWARD ALEX MKWELELE, IN LONDON NOW ALMOST TEN YEARS I AM HERE- MY EMAIL - edwardmkwelele@yahoo.co.uk
ReplyDeleteTHANKS.
Enzi hizo kulikuwa na mabweni yaliyoitwa Azimio,Ujamaa,Mwenge ...na second master akiitwa Msasa! Vipi watoto wa Kikuyu bado wapo?
ReplyDeletemmh..hiki ni chuo kanisa?
ReplyDeleteSisi wana Complex tumefurai kuiona Assembly yetu ikiwa na sura mpya. Hapa ndio nilisotea uongozi wa Bweni La mwongozo !!
ReplyDeleteComplex oyeee...
Ng'ambo oyeeeeeeeee
Ex-Mazengo
Netherlands
That is news! So Mazengo is now a University. It was my favourite with its famous PGM combination but never got there...
ReplyDeleteAisee kweli waafrika tuna upungufu wa kufikiri na tumejazwa kasumba ya kudharau ya kiafrika. Kwani hicho chuo kingeendelea kuitwa Mazengo kungekuwa na tatizo gani? Au kukipa jina la kizungu ndio kunainua elimu yake nielimisheni nami nijue vinginevyo huu ni ujuha. Kwa watu tulio nao si ajabu siku moja tukatafutiwa jina la kizungu kwa nchi yetu.
ReplyDeleteKweli tanzania tuna watu wamekwenda shule lakini hawakuelimika.
Hapa ndipo Mkapa alichemsha haswaaaaa kwa kujitahidi kuendesha nchi kwa udini. Nani kamuambia tz kuna dini tatu tu yaani kiislamu (kilichokuwa chuo cha tanesco Morogoro) Anglican (iliyokuwa shule ya sekondari mazengo) na kile alichowapa wakatoliki.
Kweli kwa hili sitamsamehe milele. alipaswa kuvifanya vya serikali bila kujali dini. Huu nao ulikuwa uvivu wa kufikiri uliotokana na ufisadi uliopumbaza mawazo yake na wenzake.
Naipenda mazengo shule yangu ya zamani. Hivi hiki chuo kinadeal na maswala ya teknolojia au hapana. kwa sababu hii ilikuwa shule ya ufundi na ilikuwa na mavifaa tele. si ajabu vimetelekezwa.
kwa uongozi wa aina hii hatuandelea daima. nchi zinajengwa na mafundi na si vinginevyo. hawaoni hata aibu umeme wa zanzibar wanashindwa kuurejesha eti wnasubiri wataalamu waliofunga hiyo mitambo miaka 28 iliyopita toka norway waje kurekebisha. Kama wamekufaje?
Kama huyu mungu yupo atawachukulia hatu ahawa watu waioozesha nchi yetu kwa maamuzi ya kifisadi kama haya ya kugawana vyuo kwa udini.
Mngetaka mngewakopesha hela wajenge vyuo sio kuwapa vyuo ambavyo wala havikuwa vya kwenu.
Mazengo form one hadi form four mwaka 1985 hadi 1988 mliosomea umeme mpooooo? Mnamkumbuka mwl.Gwaseko, mkwizu, Abdu, Mkoba na mke wake, Dungu, Msasa,,,, wanafunzi akina Ibambasi, Gideon Shangweli, Penford, James, Lali (Syilivester) Yona, Nicodemus, Dismas, Jakson, Meleki Mwano(civil),fred Ngowi, John emmanuel,,,,, Jamani mpoooooooooooo? mko wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii????? Ruksa kuwasilianaaaaaaaaaa.
ReplyDeleteBernard Muungano 7up.
Kwanza kabisa napenda kugusia kuhusu matumizi ya neno mdau, naona sasa halina maana halisi, kila mtu kila mahala akifanya lolote ni mdau, kuna yeyote anaetumia neno hili akijuwa maana yake halisi? halafu kuna hawa akina mkwelele na english mbovu ya kutupwa, ndugu yangu bora ungelinyamaza usingelisema kama uko uk! english gani hiyo ndugu yangu?
ReplyDelete.....CHUO KIKUU cha St. Johns UNIVERSITY...nimeipata hiyo ni kama barabara ya morogoro road
ReplyDeleteDu wadau hata mimi hiyo picha imenikuna.... wakati wadau wengine mnalikumbuka hilo hall kwa mitihani, mie nalikumbuka kwa disco la mchana na madenti wa Msazengo.. i mean msalato wakiwa wamevaa uniform... anyways..
ReplyDeleteKwa wale waliosoma PCB miaka ya 1996/97-1997/98 na wadau wa bweni la ujamaa (white house)maisha ya chamber au ukipenda "emba" namkumbuka sana marehemu kipanya kwa msemo huo... au msemo wa mang'atio.. au mang'a..du.. bla kumsahau mzee 'Netanyau' au "Unyama unyama" kweli siku hazigandi!!
by Mdau, ex Mazengo student... now in Austria for studies!!!!
dah anon 8:29 UMENICHEKESHa na kweli limekaa kaa kanisa,kule juu kama sandei skuli
ReplyDeleteBro Michuzi,
ReplyDeletemambo ni vipi hapo A-taun??
Umefika kambi ya fisi lakini??
Mjomba, swali/ombi langu ni moja tu; tunaomba utuweke picha za Technical College Arusha (TCA), si uko Arusha basi dondoka mitaa ya chini hapo utupe mapicha ya college, inaonekana vipi sasa hivi? Natanguliza shukrani!
Mdau- Manzese
mh kamazengo kametoa vijana wanao jituma. mmh Kitomari uko wawpi sikuhizi mchumba wa kokuteta nani hii jamani mambo ya msazengo hayo na we baltaz mbatia na yule kapere shaba bila kumsahaa solomon na mchuchu wake fulani wa msalato
ReplyDeleteeh kijana msomi John ulanga mh unakumbuka diso la shila Marehemu DJ Masuddy wa pank mambo ya NK NA SHILA ?HAKYAMUNGU,
mama itanisa alikuwa anatubania sana au mkoba? kwani vibinti vyake vilikuwa pale msalato akaogopa mta nanihii
kama kawaida yenu kummmmh sisahau sikuile mlotaka kututoa nanii watoto wa wenzenu mwe ndo ikawa mwisho wa disco la usiku
haya na head boy TOMASI YUKO WAPI BADO ANA AFRO MSUKUMA YULE mmmmh MSITAKE NICHEKEEEEEEEEEEEEEE. any way zilikuwa enzi za raha hata ka ukimwi kalikuwa bado hakajachanganya manake tungepukutika sana JKT
anon 10:06 the pumba that u write,hamna mwanadamu anaeweza kuandika. wewe dizaini ni MPAGANI,kwanza jina la Mungu hulitaji ovyo na hata siku moja huliandika kwa herufi ndogo kijana. pili,usimlaumu Mkapa,hivyo vyuo viliwekezwa kwa kushirikiana na makanisa na misikitini e.h. ubungo islamic toka kwenye msikiti wa ubungo, etc sasa usiwe wa kwanza wa kuwalalama
ReplyDeletehalafu kuna sehemu umesema eti kwa hilo Mkapa sitaweza kukusamehe,dini zozote zinasema umsamehe mwenzio,wewe usimsamehe kwakuwa wewe nabii au muumba au ni nini hasa??
halafu ukamalizia kwa kkusema 'kama Mungu yupo' we umetokea wapi?nani kakuumba?PUMBAVU SANA...
MI NAPENDA KUCHANGIA KWAMBA HUYU NYERERE LAANA ZA MUNGU ZIMFIKIE HUKU JEHANAMU ALIPO ALICHUKUA MALI ZA WAISLAMU ZIKIWEPO SHULE NA NYUMBA NYINGI TU LEO HII SERIKALI YA CCM INAWARUDISHIA WAKRISTO NA KUWABAGUA WAISLAMU VILEVILE MKAPA ALITESA SANA WAISLAMU NA KUWAUA TUKIANZIA NA MWEMBE CHAI,ZANZIBAR NA KN SASA YAMEMRUDIA NA UFISADI WAKE NA BADO MAKUBWA YATAMFIKA
ReplyDeleteCHA KUSIKITISHA ZAIDI HATA MISAADA YA WAISLAMU KM KUJENGA SHULE VYUO NA HUDUMA MUHIMU KAMA MAJI NA AFYA ZINAZUIA KWA KISINGIZIO CHA UGAIDI MAELEKEZO KUTOKA AMERIKA
LAKINI LA KUSHANGAZA ZAIDI WAKRISTO WAO WANAPATA MISAADA NA HAKUNA ANAYEZUIA JE HII NI SAWA?
HUKU BADO WANARUDISHIWA SHULE ZAO
wadau muwe na info kabla ya kuanza kulaumu. Kwanza unatakiwa ufahamu kuwa Mazengo ilikuwa inamilikuwa na kanisa Anglikana hivyo serikali ya awamu ya tatu ilikuwa inawarudishia kilicho chao na sio "kuwapa". Kila dhehebu/dini inao uhuru wa kuanzisha chuo/shule/n.k. Walutheri wana Tumaini, Wakatoliki wana St. Augustine, Waanglikana wana St. John's, etc. Na vyuo hivi vilijengwa/kukarabatiwa kwa michango ya waumini na wahisani, sasa unapoanza kumlaumu Mkapa sijui tukuelewe vipi. Isitoshe, vyuo vyote hupokea wanafunzi wa dini zote; ni kama vyuo vya umma tu, sasa kama watanzania wote wanafaidika sijui unalalamika nini.
ReplyDeleteMie mdau wa Mazengo Complex hapa, mnakumbuka Sudan lakini? au wakati wa kufunga shule form one wanalambwa kebo na mikojo ya beach?
ReplyDeleteNg'ambo, wimbo wa shule ule Mazengo school, vipi kuhusu Disco na watoto wa Msalato, au kuwachapa Dom Sec kwenye Umiseta? goooooood days man. Mazengo complex Room four middle Ujamaa, Muungano room 5 up, Mwenge room one up, na Azimio room 6 up..haaa haa those are the most famous roooms when I went school there.
mimi ninawasapoti Nalitolela wa 7:45(btw i tracked you down on facebook) na anony wa 5:52 mmeongea point kwa kweli,za kumjibu anon 11:27!
ReplyDeletepili anon wa 7:16 mdomo wako una laana,wewe ndio unaleta udini na ukabila hapa.wote tupo sawa.waislamu wangapi wanasoma seminari?na wakristo wangapi,wapo shule za kiislamu. hamjakatazwa kuanzishwa wala hawajaweka restirtcions za nani asome pale au afanye kazi,so PLEASE dont speak such nonsense. gogoro la mwembechai unalijua wewe?kama unalijua niambie kwa ufupi,before sijakupa habari kamili!
jamani wadau kama kuna mtu anaeweza kumshushua vizuri huyu kijana,tafadhali ajitokeze,ameniharibia mudi kabisa.
Hee jamani, ndio kusema siku hizi hakuna tena DISCO la MSAZENGO? loo MAzengo walikuwa ma patner's wetu MSALATO GIRLS wa kucheza mziki, yaani kukiwa na mziki hapakali wala watu hawalali, usiku kucha kuandaa viwalo, kisa Vijana wa Mazengo wanakuja huku wamevaa Masuruali yao Meusi na mabasi.
ReplyDeleteDuuhh kweli maisha yalikuwa tambarare!
Dada T
It is me again, MKWELELE, I read with not believing my eyes as one of the COMMENTATOR (ANONYMOUS, JUNE 03, 2008 12:00 PM) attacking me with my ENGLISH, anyway I read it (my comment) again and again more than thrice and I din't see anything wrong with it(ENGLISH), after all I did not say that I a master of ENGLISH or I was presenting an ENGLISH paper TO ENGLISH Professors, it was just like writing tabloid there is no need of a spot on ENGLISH innit?, who is this man!! is very annoying and upsets me, anyway that is how most Tanzanians are!! I can't believe this!!! mind you I was not writing ENGLISH exam dude, just typed my quick feelings about my old school that's it, so when somebody chops in from knowwhere out of blues and trying to show that he is one of those guys who exudes an air of intellectual arrogance and pomposity that is utterly and absolutely nonsense, his or her comments are those languages having no meaning and conveying no inteligible ideas, also he/she questions the using of the word MDAU, ooooo ghosh how mant times people are using this word, it is like street swahili, very common and society accepted the way people are using it, stop that man!! what kind of a whinger this person is!!!! I WISH I COULD KNOW THE BOLLOCKS. SIJASEMA KUWA MIMI NIMTAALAMU WA ENGLISH KIASI KWAMBA NASITAHILI HIZO COMMENTS, NILIKUWA NATOA COMMENT JUU YA SHULE NILIYOSOMEA TU, KAMA ENGLISH NI MBOVU KILA MTU ANAIONA NA ATAAMUA MWENYEWE HAKUKUWA NA HAJA YA COMMENT ZAKE AMBAZO KWA MTU MWENYE AKILI ZA KAWAIDA TU I MEAN IT DOES NOT REQUIRE ROCKET SCIENCE KUTAMBUA KUWA NI MATUSI , SWALA HAPA LILIKUWA MAZENGO SECONDARY SCHOOL NA SASA NI CHUO KIKUU. wow!! unbelievable, these kind things are the ones which exacerbating Tanzanians not to be loving and helping each other, just aggravating hostility that is why there are so many selfishness, egoism, knowing much, and jealousness, as a result we are where we are. LOVE AND RESPECT ARE VERY VITAL STUFFS. You Mr GOOD ENGLISH don't expect good ENGLISH in an internet comment, even commenting in SWAHILI under such situation there is no guarantee of swanky spot on SWAHILI, you may write awful horrible SWAHILI as well.
ReplyDeleteYees Msazengo ! ilikuwaga poa sana.. mi nilikuwa Msalato 1984-1986 ... disco la Mazengo watoto wa mjini.. Bihawana walikuwaga wanajionaga inferior but pia tukienda kwao they were good treaters. tutalishwa, ukibahatika hata wine ya Bihawana wapata. Mazengo were good friends/lovers kwani walikuwa sharp. naungana na anonymous flani wa hapo juu kuwa bora wakati ule kaukimwi kalikuwa bado hakajachanganya maana mboni ingekua mboniiiii!!! Chini ya mti ule mkubwa wa Mazengo pale na disko lao la usiku ikifika usiku vibinti vya Msalato vina sneak vyumbani na chini ya Muti.. e bwanaaa .. kabla Lorry letu Isuzu la Msalato halijaja kutubeba... tukipita chini ya miti majani yanatuchapa tunasema viboko vya mwalimu wa Zamu! hakiyanani, hakuna awali mbovu!! Big up Form Four wa 1986 kina Jane Mwakalebela, marehemu Juddy Mtawali [ RIP], Lau Ng'weshemi [RIP] , Mariam Ndahani, Beatrice Mashauri, Mary Robert, Pili Ramadhani, Mary Mnyamwezi, Asha Mwakibete, Tina Mpogole, Leonila Kaboboye, na Form Three Given Chiwamba, Suzana Patel, Kalunde Mpamanga , Form two Asella Mwesiumo, Fatma Mwassa, etc.... miss you guys. Mabweni Mwongozo [ la machizi], Azimio, Mwenge, Chidosa, Balisidya [ la Waha weeengii], Tumaini.... hapo ilikuwa kabla ya A'level. Msalato was poa kwa kweliii
ReplyDeleteAnon. Wa 04, 2008 10:29 AM. NIMEKUKUBALI FULL.
ReplyDeleteYaani wewe ni mwana Msalato kabisaaa. Ila wangu ulinitangulia kiasi flani m nilikuwa 90's. nakumbuka bwana. Sisi tulikuwa na Mama MGANA, Bwana disco la Mazengo lilikuwa shughuli kweli kweli. Kwanza kulikuwa na ma check bob wa mazengo wanawachanganya masta duu wa msalato, leo yuko na huyu disco lingine na mwingine. mbona ilikuwaga patashika mabwenini watu hawaelewani. Basi email zilikuwa hamna, barua zikija inakuwa kazi maana watu wanasubiria CARDS za love story kutoka kwa vijana wa mazengo.
Ama kweli, mimi beni langu lilikuwa Balisydya then Chidosa tukahama mara Mwongozo.
Ila Msalato was a great school, I realy enjoyed being there.
HIvi member wa msalato, jamani akina Mwal. Mbangwa, Mudy, Mama Ally, mr. Andrew alikuwa chekbob wa physics, Ndorongena na wengineo bado wapo? tupeni habari jamani, NA MPISH SUPER ALIKUWA ANATUPIKIA PILAU LA HAJA SIKU ZA SHUGHULI.
Bila kusahau wimbo wa shule kila asubuhi,
UKITAFUTA SHULE YA MSALATOOOOOOOO
KATIKATI YA TANZANIAAAAAAAAAAAAA
MAILI SITA TOKA MJINI DODOMA,
IMEJENGWA VEMA KABISAAAAAAAA.
MUNGU IBARIKI
SHULE MSALATO,
WATUMISHI NA WAFADHILIIIIIIII
WANAFUNZI WOTEEEEEE
TUAJALIE NGUVU,
KUENDELEZA SHULE YETUUUUU.
HEWA YAKE SAFI MAZINGIRA SAFI,
MSALATO INAPENDEZA,
JITIHADA JUHUDI NA MAARIFA
NI KITOVU CHA MAENDELEO
RABUKA LIONGOZE JAHAZI HILI,
ULIEPUSHE NA MAWIMBI,
KATIKA KUYUMBISHWA YUMBISHWA OVYO,
DAIMA MSALATO MBELE
DUMISHA UMOJA AMANI UPENDO,
PASIWEPO NA UTENGANO,
HAKIKA MSALATO NINAKUPENDA
NA PIA TUNAJIVUNIA.
MICHUZI TUNAOMBA PICHA YA SHULE YA MSALATO, TUKUMBUKIE ZAMA ZETU PLZ.
Dada T
Wadau,
ReplyDeleteIlikuwa furaha kuliona hall langu ambalo mara ya kwanza niliingia likiwa kazini na huku KAGUNILA akitesa na mziki wake uliokuwa na SUB-WOOFER, mhhhh mika hiyoo. DJ na Mwalimu Mganyizi pia hakuwa mbaya. Nilisoma Mazengo Sec 1982-85 masomo ya ujenzi na baadaye kwenda Technical College Arusha (Michuzi tunaomba picha). Sisi tulikuwa watu wa mwisho kumuaga Asseri na kumkaribisha Mkoba (You come here alone .... go home alone). Pia mpuuzi Msasa na vimbo zake. Mwaka wetu ndiyo tulikuwa timu kali ya mpira huku tukitoa wachezaji wengi wa shule na Kanda ya kadi waliokuja kwenda hadi Zambia (Sunday Kalonga, Feruzi Hanzuruni, Madonna (Musa Zuber), Athman Mtoro, John Mtutwa etc). Pia nakumbuka mpiga gitaa wa TBR Jazz akituburudisha yaani Francis Kidanza. Nilikuwa nakaa bweni la Mwongozo (Harufu ya choo??). Mwamkumbuka Mlaponi PP (Pig Project? Ni marehemu siku nyingi, pia mwalimu wa mpira Athman. Suri pia alifariki baada ya kusikia mwanae anaenda JKT (Nilisikia). Alikuwa na kiswahili cha "dakika tano bakia" na alilalamika sana mtoto wake kuchangamkiwa na mtoto "Malago, fanya nini sasa? MWanao changanya damu". Msalato alikuwepo yule mama Manofu? Mama alikuwa kanona huyu?? MSAZENGO kama kazi wakati huo ila mie nilikuwa kilaza fulani tofauti na mpwa wangu "Pendo Yongolo". More story tuwasiliane kwa anwani SSAMBALI@HOTMAIL.COM
NB: Wewe uliyeishi Mwongozo ulikuwa mwaka gani? Mie nilkuwa nikiishi na kaptain wa shule timu ya basketball yaani Herman Nzowa chumba namba 7 chini..... si mbali sana na office ya Mzee Chedi/Chonya.... Wagogo with their " Mpishi, chikulomba ukoko....mhh Wagogo wala wa Mhumba ... (thanx, Steve /Tabora).
jamani wa msalato na mazengo mnakumbuka weempy ndo kijiwe wakati tunaaga kwenda hospt. taht was meeting cent. mnamkumbuka mwali sule kwastiki ndo mwenyewe na mwl. kiwiba , karia mama ally mmh itanisa wa miguu.
ReplyDeletejamani zena mwenge yupo, irene wa voda anlikuwa mrembo sana lakini sasa akijiachia sana mpaka amepoteza mwelekeo halima namuona arusha ye yuko bomba na mzungu wake wako wengi tu, mnakumbuka tulivyokuwa tunanunua mihogo kwa wagogo hata tulikuwa hatujali uchafu wao mmmmm nice time jamani
MKWELELE
ReplyDeletei feel your pain, ignore some of the people in here. comment ya huyo 'mtu' aka mdau,niliiona,ila i think michuzi kaiondoa,kwa sababu na yeye anaelewa jinsi gani alikuwa hajatumia busara na utu. watu wengine wamekuja tu kuosha vinywa humu ndani,na hawaelewi kwamba comments zao zinaaffect people in real life. STOP IT
miss keys
Mkwelele,
ReplyDeleteWaha jirani zangu wanasema "ngoja tumu-TIRAY. Sasa wee jamaa anaku-try na wewe unatikisika? Hujawahi wasikia Wabeba MABOX? Wanachonga hao? Kama wangelikuwa wanasiasa basi huko USA hata Obama angelipata habari yake kwa kashfa zao. Take easy man. Dunia ndiyo ilivyo. Kuna wengine hawezi pita sehemu bila kuchafua hali ya hewa ila bahati mbaya umeangukiwa wewe. Kijana Wa Mkoba kumbuka maneno yake "You come in MichuziBlog alone and you will leave alone.." Kidole cha kati mbele kwa mshikaji na wee endelea na BIA nyeusi kama unayo hapo kutoka kwa wazee wa U2 (Bona). Kikuyu son of Vikuyu.
Kuna mmoja Kaandika Betrice Mashauri wa Msalato. Huyu dada nilikuwa naye Masange JKT na nilikuwa namfahamu. Alikuwa secretary wa Captain Mrimba. Siku moja alikuja msifia kuwa ana akili sana na tukaamua kumjibu huyu afande kwa maneno yake mwenyewe kuwa Bibie na form six ya Abushiri (History). Mrimba akaja juu na kusema tuache kashfa kwani mzigo wa mwenzio ni kanda la usufi. Duu watu wa Morogoro Mnachonga... Heshima mbele Kaptain Mrimba.. na military history kama ile ya "we ware not retreating, but we ware ...." Nimesahau haya maneno ya Mrusi aliyejitetea na kuachwa kupigwa risasi na tangu hapo wanafundisha somo la ku-retreat wakati wa vita. Wanajeshi saidieni.
ndugu Mkwelele,
ReplyDeleteUsijali sana kaka yangu. the most important thing is to not even dignify such imbecilic remarks with an answer. There are certain human beings who are such losers in their lives, they are always looking to put down others just to make them feel good about themselves.
And there are also so many people of sub-normal intelligence who always have to comment on sometimes trivial or unrelated matter and veer away from the main discussion points.. perhaps because they have too much time on their hands. So keep your head up bro, and keep posting!!
(PS: More often than not, the people who are quick to correct others, or post negative comments do not have the slightest clue about what they are saying themselves)
Anony. wa June 04, 1:54 nakushukuru. kweli nilikutangulia but we had our beloved Headmistress Mama Lema, akaondoka, tukapata Ms. Kisenge toka Kilakala. mkali alikuwa but for a good cause. Nimekuja kuelewa kuwa ku head shule sio mchezo....
ReplyDeleteMwl. Manofu nakwambia alikuwa mkali. anachapa huyooooo. alikuwa anatufunza Geography. ukipata chini ya sabini, unachapwa, sabini minus maksi zako. so kama umepata 30% kama maksi ujue unalambwa viboko arobaini.. na anavichapa kweli. yaani siku ya majibu ya Geography ilikuwa kama msiba pale chini ya mti wa "Kengele ya Wote". mbele ya kadamnasi na hamna kukwepa. alikuja hamishiwa sijui Kilakala. but simchukii .. alitufunza kusoma.
Mama Ally, Mwalimu Nuru Suleiman [ Biology} naye ni moto wa kuotea mbali; Z Kiwiba, mwl. Rock wa hesabu.. huyu Rocky alikuwaga msukuma nasikia jina lake alikuwa ni Mwamba ila mampompas alikuwa akitinga na sun googles darasani. mweee. hizo hesabu saassa! zinavyofundishwa kwa mbwembwe!.. yaani uwii.
Mwalimu Kolingo Bookkeeping na Commerce...
Wapishi alikuwapo mkaka hodari mgogo akiitwa Form Six na mwingine Elias ana bonge ya mapengo...
matron mama Limbe.. mwana wane!!
ah jamani, bro Michu, pls tinga picha za Msalato ukimaliza Lussivan a.k.a Sullivan
Jamani wale wa MSALATO naawarifu kuwa mwalimu Nuru Suleiman aliyekuwa anatufundisha Biology alishatangulia mbele za Haki!! Alifariki miaka ya 94 aliugua. Mwalimu Muhd aka the smasher alimuoa mwalimu mwingine alikuwa anaitwa mwalimu Daniel. Halafu kama mtamkumbuka mwalimu Kalolo yeye yupo CRDB aliachana na ualimu. Mama Mgana siku hizi ni mkuu wa Wilaya fulani. Mimi nilikuwa mkazi wa Chidosa lakini siyo chidosa 3 haaa haaa haaa!!! Shost wa Zena Mwenge ndugu wa Irene. Natamani sana maisha ya Msalato yalikuwa safi sana ukijumlisha na viboys vyetu vya mazengo basi ilikuwa weee acha tu, Mama Itanisa na miguu yake jamani uhhhuuuuu huuuuuu!!!!
ReplyDeleteMimi Ndio Limbe Mwenyewe!!
ReplyDeletesee me on www.myspace.com/geelimbe
Nita waambia...Ally-Amina...Venansia wapo wapi..ukutakakujua zaidi msalato niulize...
hata hivyo...Nihabari ya huzuni kuwa taarifu kua Mama ally amesha fariki dunia...
ReplyDelete