Home
Unlabelled
warembo wa miss kinondoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HEEEE..HIVI KUNANII..MBONA HIVYOOO LAAA...ASALALAA..WAREMBO HAO
ReplyDeletesipendi, sipendi, sipendi pale wandaaji wanapowatumia ma-miss kama chambo.
ReplyDeleteina maana bongo hakuna kitu kingine ambacho hawa kina dada wenye attitudes wanaweza kufanya zaidi ya kushindana kwenye mashindano ya "uzuri"?Kila siku miss wa nanilii anatafutwa,ooh kidampa fulani kawa miss wa nanilii.Kina dada tafuteni fani nyingine hii ya uzuri ni maji ya uvuguvugu.
ReplyDeleteKuna mtu amepata kuandika mahali kwamba U-Miss ni civilized version ya biashara ya utumwa. Ni mshindi tu atakayefaidika kidogo lakini wengine wote wanaishia kusakiziwa wanaume.
ReplyDelete