Ndugu WANAJUMUIA.
Napenda kutoa taarifa rasmi kwamba lile ombi la baadhi ya Wanajumuia kuhitaji huduma hii limekubaliwa.
Nimepewa taarifa toka ubalozini, afisa wa pasi atafika hapa Houston na kutoa huduma.
Tarehe iliyopangwa ni August 2 na 3 {jumamosi na jumapili}.
Naomba kama nilivyopewa maelekezo na ubalozi tujitahidi kusambaza taarifa hizi. Maelekezo mengine yatafuata hapo baadaye.
kuna maswali yeyote wasiliana nami kwa njia zote ikiwemo simu pia,
namba yangu ni
281-989 3724.
Asanteni,
Wenu ktk jumuia,
Juma Maswanya.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
New comments are not allowed.