usiku kuamkia leo huko vietnam mrembo wetu kwenye miss universe amanda ole sululu alikuwa katika kinyang'anyiro cha michuano hiyo katika vazi la jioni (juu) na la kuogelea (chini) katika sehemu ya awali ya fainali hizo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2008

    VICE VERSA IS TRU!!!! VAZI LA JUU LA JIONI? NA LA CHINI LA KUOGELEA?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2008

    All the best girl!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2008

    hahha nilidhani nimekosea kusoma kweli amechapia mawelezo daaaa

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2008

    Aisee huyu Amanda ni mzuri she has the miss university beauty

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 09, 2008

    gauni nzuri, ila hiyo nguo ya kuogelea khaa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...