angella luballa akivishwa taji la miss temeke 2008 na anayemrithi queen david baada ya kushinda wikiendi hii katika viwanja vya tcc club chang'ombe
miss temeke 2007 akimvisha bibu miss temeke 2008 angella luballa
queen david akimsimika miss temeke 2008

miss temeke 2008 angella luballa akiwa na washindi wa pili rona swai (kulia) na florence josephat mara baada ya kutwaa taji

tano bora miss temeke 2008

angella luballa katika pozi juu na chini. msichana huyu ambaye ametoka masomoni huko marekani alivutia majaji na wadau waliofurika tcc club

majaji miss tmk 2008
mkurugenzi wa BMP Promotions ambao ndio waandaaji Mh. Benny Kisaka akitangaza kumi bora

baba na mwana: mwanamuziki mkongwe maxmillian bushoke na mwanae bushoke wakitumbuiza miss tmk 2008
big brother II richard akiongea huku miss tmk 2007 queen david akisubiri kukabidhi taji

























Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...