balozi wa marekani nchini mh. mark green (shoto) akiongea na maafisa wa new media brain trust kabla ya kuzindua warsha ya new media & africa: making it work in the 21st century katika ukumbi a jumba la sultani hapa zenji. katika spichi yake balozi green ameipa shavu teknolijia ya habari ya kisasa, ikiwemo globu hii ya jamii, na kutoa changamoto kwa wadau kwamba wasiulaze maana wakati ni ukuta

then what
ReplyDeletehii ni blog au glob??
ReplyDelete'Kazaneni'unajua tena Blogu ndiyo njia pekee ya kisasa ya kuwasiliana mara moja bila ya mizengwe yoyote!So,Michuzi make the most out it!Kila mtu akiwa na Blogu yake haipendezi,nani atamtembelea nani!Lakini Blogu 'yako'hivi sasa si yako tena ishakuwa 'Kijiwe'cha Wadau wakiwemo 'Wafurukutwa'na 'Watekenywa'wakibadilishina mawazo na kupashana ujumbe!Daima Mjumbe Hauawi Michuz!So dont go Pimp!Lazima 'Lisimame'!Au Vipi?
ReplyDeleteDecorator wewe wa wapi?!!
ReplyDeleteKaribu kwenye globu yetu ya jamii, Sisi ndio wadau, tuko na mdau namba moja ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Tegeta Mheshimiwa Issa Michuzi tunaendeleza libeneke la nguvu.
Ooops ni libenekezzz sio libeneke.
Limesha SIMAMA hilo? 'Ndiyo Limesimama Mkuu!'.Sasa linangoja nini? Linamsubiri mwenyewe aje alikamate! huu ni mkasa nilioukuta mitaani kibaka mmoja kakamatwa na watu wanaulizana nani wa kumpeleka kituoni.Yalikuwa Majambooz manake!Mbavu watu hawana.Waliokuwa na Athma palikuwa hapatoshi!
ReplyDelete