
makamu wa pili wa rais wa shirikisho la soka nchini (tff) mh. jamal bayser akiangalia mapicha ya kumbukumbu ya yanga na simba kwenye banda la daily news na habarileo kwenye maonesho ya sabasaba. pamoja na kuonesha mapicha kibao ya sasa na ya zamani magazeti hayo yako njia moja kuzindua maktaba ya teknohama ambapo wadau watapata fursa ya kusoma ama kuona picha na maandiko yote tokea miaka 75 ilopita ambao ndio umri wa magazeti haya mama. maktaba hiyo itawekwa hadharani hivi karibuni kupitia tovuti ya www.dailynews-tsn.com na mdau utakuwa hutu kuagiza na kununua picha ama maandiko yoyote kupitia mtandaoni


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...