sura ya tabasamu lilikuwa limepaki sipo ndipo na jamaa wakaipiga nyororo kabla gari lao halijakata moto. haya ni mambo ambayo utayakuta kwa michuzi jnr mwingine ambaye pia anaendeleza libeneke la globu kwa kwenda mbele. bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2008

    Brother Michuzi,tena umenikumbusha kuhusu hawa jamaa wa Dar City council.Yaani wana system mbaya sana kuhusu hizo 'car packings'.Serikali au uongozi wa jiji naomba ulitupie macho hili suala.Mimi Gari langu limeshafungwa mnyororo mara mbili.Malalamiko yangu ni kwamba wafanyakazi wanafizia mtu aegeshe gari na kuondoka ndiyo wanafunga gari,halafu wako wengi,kuna wenye sare na waliovaa kiraia.Wananyanyasa sana watu kwa ajili ya rushwa.Naomba kama kweli jiji liko serious liandae na kuweka vibao vya kuzuia maeneo fulani kutokuegesha magari.Lakini jiji halifanyi hivyo.Unaegesha eneo ambalo halina hata alama ya kuzuia kuegesha gari,still hawa watu wanakuvizia uegeshe gari wakukamate!(Nilitegemea wangemshauri mwenye gari kabla hata hajashuka kwenye gari asiegeshe gari mahali hapo lakini wanajificha mwenye gari asiwaone!!)Hizi zote ni dalili za rushwa.Ni kero kerooo kerooo keroo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2008

    Sijui inakua vipi hapa, lakini kuna umuhimu wa jiji kuweka alama zinazoonyesha sehemu ambazo haziruhusiwi gari kupaki. Pia huu utaratibu wa kuvuta magari ungerekebishwa na bdala yake wangetumia clamp ambazo zinatoa nafasi urasimu na kumpa nafasi mkosaji kujua kosa lake... vinginevyo mtu unarudi unakuta gari halipo unaweza kufikiri limeibiwa!!!

    Vinginevyo kuna haja ya kuwashitaki jiji kama wanafanya utekelezaji huu nje ya sheria

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...