dj bonny luv akiwa na mwenyeji wake mix-master dj luke huko washington dc asubuhi hii, wakijianda kwenda columbus, ohio, kwenye Oldskool Party of the Century. dj bonny luv ambaye kabeba mikwaju yote ya enzi hizo na sasa anauliza: je mko tayari wadau wa columbus na kwengineko kurukaruka wikiendi hiiiii????

Mbona jamaa kama kanuna vile? Au ndo mapozi yenyewe?
ReplyDeleteDuh, jamaa tangu nianze kumjua ana kijiraba flani ivi cheusi mfano wa bangili kimevaliwa mkono wa kulia kama sikosei, naona mpaka leo kipo. vipi michu, ndo staili kama yako ya ze tisheti?
ReplyDeleteHaya haya, asiye na mokassin aazime wanchoma kumoyo! shughuli ndo hiyo tuliokuwa tunaisubiri! ila mi naomba kuuliza, sie tunnaotumia miswaki ya miti, mkaa tutapata? maana mmetuambia tuje na miswaki!
ReplyDeletekwanza bwa shem umenifurahisha kuniwekee kandovu hapo juu manake silali bila kupata
ReplyDeletewe unasema miswaki ya miti na midahaa je umesahahu mi nawatakia siku njema utamsubiri na sisi akirudi kwani mi hua ananikuna kweli kweli old boy mwe
hii! nyinyi vijana hapa mnakubali
ReplyDeletekwa kuwa mmevaa ifulanaziiii!!!!!
kidogo inafanana na ya mkuu wa Tagetaga
nishaandaa wanchoma kwiru,dont miss the parry of the centuryy!!!!
ReplyDeleteJust curious!!! Bon are you single?
ReplyDeleteHuyo wakupokelewa ni yupi manake hata hukusema wakulia au kushoto na wote wamechoka kama wamesafiri masaa 16 vile sasa hata hujui mgeni ni yupi na mwenyeji ni yupi.....
ReplyDeleteAnony wa July 04, 2008 1:50AM,
ReplyDeleteWa kupokelewa ni kwa kushoto (mwenye jeans ya blue) ndio bonlove