habari toka wka watani wetu wa jadi zinasema Waziri wa fedha wa Kenya, Amos Kimunya amejiuzulu sasa hivi katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake jijini nairobi , kufuatia sakata la uuzaji wa Hoteli ya Grand Regency. Inadaiwa aliiuza kwa bei poa kwa serikali ya Libya na watani kukamkalia kooni hadi kaamua kuachia ngazi. Ukisikia kuwajibika hata kama kosa si lako moja kwa moja ndiko huku. wadau hii imekaaje?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...