chanzo wa mto Nile(Jinja) Uganda, kwa mujibu wa mdau Phillip Kakuru

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2008

    Mto Nile unaanzia Burudi kupitia Rwanda na Tanzania kama mto Kagera. Asili ya jina hili ni "Akagera" yaani "kamto."

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2008

    MICHUZI HUYO KAKURU NI MCHOKOZI SANA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 15, 2008

    Jamani licha ya kwamba nimetupa somo la Geography muda mrefu lakini nakumbuka tumefundishwa O' level chanzo cha mti Nile ni ziwa Victoria. Tena nakumbuka nilikosaga niliandikaga ktka exams chanzo chake ni Red Sea nikakisa hadi sasa sijasahau masahihisho yake...Sasa nashangaa huyu anaesema chanzo chake ni Rwanda..!!! Bora hata huyu anayesema Uganda ninapata kapicha kwasababu Uganda ndio imepakana na lake Victoria juu na mto Nile unaelekea juu kuelekea Red Sea...Mh hebu jamani walimu toeni maoni yenu nanyi..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...