Da'Chemi ni mmoja wa wadau wakubwa na bloga alietukuka wanaoendeleza libeneke la filamu kwa kwenda mbele. Hivi sasa yuko kwenye kozi fupi ya kuigiza ambayo anatarajia kumaliza mwezi ujao. anasema kwa wao waigizaji huko aliko ni lazima wachukue kozi mara kwa mara, has akiwa ni mwanachama wa Screen Actors Guild na AFTRA (American Federation of Radio and Television Artists) ambavyo ni vyama vikubwa vya waigizaji wa filamu. Mtembelee kwenye globu yake kwa kubofya hapa ama angalia picha zake zilivyopigwa hapo chini

Dadaaaaaaaaaaaa, kudadadeki. Haya bwana mfaidi tu
ReplyDeleteLakini sister si uko huko majuu kwa wenye kujua afya bora. Jitahidi basi na hizo diet zao kidogo. Sisemi kwa ajili ya urembo bali umri ukiengezeka ni muhimu ntu kupunguza kilogram kidogo. Unene huo mzuri kutazama lakini honestuy utaharbour magonjwa mengi tu ukihit 50 na maburger yenu huko sijui itakuaje.
ReplyDelete