lady jay dee akiwa na mwigizaji na mwanamuziki will smith (juu) na mwanamuziki eddy grant (chini) wakati yeye na maselebriti wenzie hao walipoalikwa london kusherehekea kuzaliwa kwa mandela. habari kamili ya ziara hiyo na mapicha kibao bofya hapa





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2008

    KANUMBA MWINGINE HUYO.NILIHUDHURIA LAKINI SIKUMWONA KATIKA PERFOMANCE YOYOTE.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2008

    Nanona anhitaji darasa la makeup.Sura inakila aina ya rangi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 19, 2008

    aha kweli kanumba mwingine,sikuhudhuria mimi ila niliona live kwenye tv hakufanya performance yoyote sidhani hata kama alionekana kwenye tv hata japo kama shabiki achilia mbali performer...sasa tatizo ni kuwa wasanii wetu hulewa sifa za kijinga,kwani kwa yeye hapo kupiga picha na Will Smith ama Eddy Grant yeye kwake ataona ni mafanikio wakati mie naweza kupiga picha na hao watu kama "fun"

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 19, 2008

    jide sio celebrity,,yeye ni superstar wa mziki wa bongo flavour tu huko kwimgine unamsingizia bwana mzee,,,celebrity akitaka kusafari anatafuta wadhamini wa safari yake?????? wapi na wapi?? after all hata backstage hakuwepo..watanzania tusipende sifa za kijinga

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 19, 2008

    Sawa hakuweza kuimba nyimbo na Papa wemba sababu Papa Wemba kawa banned kuingia Europe kama mnavyosema.
    Cha kushangaza , kama yeye msanii mualikwa, kwanini hakushirikishwa kwenye nyimbo ya pamoja waliyo imba wasanii wote? au sababu hakuimba na papa Wemba so hakuruhusiwa kupanda jukwaani?
    Sio kama na mponda ila ina nishangaza kwanini wamualike na pia waandaaji wafanye makosa ya kuto kuwa makini kujua status ya Papawemba na pia kwanini wamwalike halafu wajue kuna tatizo la Papa wemba na still apande ndege all the way from Tanzania halafu hata kuimba nyimbo ya pamoja wasimshirikishe?.
    Kwa maoni yangu ni kumdhallisha na nadhani ange wasue hao organizers ,kwa kumdhalilisha na kumfanya ajisikie vibaya kisaikolojia ,maana hawakumtendea haki kabisa , unless alipanda na sikumuona.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 20, 2008

    michuzi, umesema jide yuko na wakina nani? MA-CELEBRITY WENZIE.. hivi jide nae ni celebrity? sikujua.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 20, 2008

    HATA MIMI NILIKUWEPO KWENYE SHEREHE HIYO WALA SIKUMUONA KUHUSISHWA KWENYE PERFORMANCE YOYOTE ILE NA PIA SIKUMUONA KABISA,HATA SIJUWI HIYO BIDII YA KUKIKIMBIA HUKU NA HUKO KUPATA PICHA HIZO ALIIPATA WAPI!!! ILI AJE AONYESHE HUKO ILI APATE VIJISIFA VYA BURE, MWEEEE!!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 20, 2008

    NYIE WOTE MLIOANDIKA HAPO JUU, WIVU WENU UTAWAFANYA MKONDE. MNABANA VITU VYA WAZI, KAMA ALIIMBA AU HAKUIMBA HAIJALISHI CHA MUHIMU ALIALIKWA NA AKAENDA. MBONA NYIE HAMKUALIKWA? PICHA ZENU ZIKOWAPI TUZIONE?

    ACHENI HIZO, JIDE ANAJITAHIDI KUPUSH FANI YA MUZIKI BONGO; ANASTAHILI HESHIMA KWA KADRI YA MATENDO NA TABIA YAKE NA HASA MCHANGO WAKE KUKUZA MUZIKI WA BONGO. YEYE SIO MALAIKA, NA NYIE PIA SIO MALAIKA.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 20, 2008

    wewe mtoa mada wa mwisho unashangaza mtu kaalikwa halafu hakupaform maanake nini.kama alivyotangulia msemaji wa kwanza haikuwa na maana kualikwa halafu asipaform

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 20, 2008

    jamani mimi nilijua tu hata fanya chochote, isipokua Tz tunatabia ya kukuza mambo, hata wewe michuzi umemuweka humu ili watu wakusaidie kutoa ukweli kwani ulijua kabisa she came here 4 nothing and the whole issue was useless for her, mimi bado nagombana na Management nzima ya jd, they need to go to school kujua maana halisi ya kazi wanayoifanya na si kuwekwa kutokana na umaarufu [sijui hata kama ana management team masikini] ili awe kama ulivyomkuza anapaswa kusaidiwa sana kwa kila kitu na kama ana-produsers wazuri basi wanapaswa kujua bado kazi kwao ni kubwa, kama alivyotangulia huyo msemaji hapo juu hata mimi sikuona ni kipi kilimleta kama papa Wemba alikataliwa visa, lakini asidhani kupiga picha na those guys ndio umaarufu, angetafuta muda wa kuzungumza nao ili ajue wao wamefanyaje kufikia pale walipo na awaeleze mapungufu yake ili wamsaidie kwa swala zima ktk industry aliyopo, halafu angesema nimetoa matongotongo ndio tungemwamini, nasi siku moja tz tujidai kuwa tuna-celebrity, halafu asipende kusuka hiyo style haimpendezi coz she has a work to do on her body as well as her face, na tabia yake ya kuchora uso na rainbow aiache, asanteni wote muliotoa maoni mazuri kasoro mtu mmoja.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 21, 2008

    HOVYO JD KACHEMSHA.WABONGO WANATAKA SIFA AMBAZO SI ZAO OOO ANAKWENDA KUMUIMBIA MANDELA AIBU!!!AIBU WABONGO WENZANGU.HATA LEONA MSHINDI WA X FACTOR KAIMBA LAKINI WEWE JD NI MUIMBAJI WA SIKU NYINGI HUKUPAFOM,HAPO PEKE YAKE TUSHAJUA KUWA WAIMBAJI WA NYUMBAJI HOVYOOOOOOOOOOOO.HALAFU WACHA KUSUKA HIVYO.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 21, 2008

    Jamani hizi media za hapo nyumbani bongo zinavundika watu ili waive haraka haraka kabla hata huwajakomaa na matokeo yake ndio hayoo tunayaona waelewa wa mambo.Huyu dada (Jide)namfuatilia tokea kipindi kileeeeeee alipokuwa anakremisha nyimbo za watu na kuziimba redioni,hasa kuna uu wimbo wa MC Lyte - keep on, keep on wakati ulipokuwa unatamba.Muulizeni kama atabisha,basi huyu dada akaendelea na mwishoe alikwenda kora bondeni for da first time,sasa kuna website yake ambayo ilitengenezwa na jamaa mmoja toka US at that time ikawa imemsifia sana na magazeti mengi ya hapo home. Lakini mimi niliandika maoni makali sana kwenye hiyo tovuti kuhusu hizo tabia za media bongo za kuwapa dozi ya sifa ya watu wazima wasanii wetu wachanga na matokeo yake ni kuwamalizia mbali.Nilipata upinzani mkubwa sana waelewa wezangu, lakini cha kushangaza ni kwamba mwana dada alikwenda kora bondeni na aliporudi alitangaza kuacha muziki kabisa,kisa anakijua mwenyewe na kilichomkuta uko hatujui mpaka leo zaidi ya redio mbao kujaribu kurekebisha mambo ili jina lisiendelee kuaribika.Then nilirudi tena kwenye hiyo website yake nikawauliza walio nijia juu kama kuna cha zaidi baada ya dada yetu kusema yeye na mziki basi,hakuna aliye nijibu. Jamani jarida la bongo lanidishia mawazo ningali kijana na tena nguvu ninazo,soka letu linakufa kabisa sababu ya media,tunaongea sanaaaa kuliko vitendo.Ndio bongo yetu ujanjaa mwingii mbele kiza.Kupiga picha na msanii mkubwa wa ulaya sio kitu tunachokitaka kwasasa kwenye nchi yetu yenye rasilimali zote lakini imefunikwa na wingu zito nene la umasikini,ufisadi na mwelekeo husioeleweka.Tuchape kazi kwa bidii jamanii.Mchapakazi.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 21, 2008

    Licha ya kupanda jukwaani hata kwenye website ya maandalizi hakutundikwa ndio michuzi anasema selebriti makubwa hayo

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 21, 2008

    WATANZANIA WENZANGU!!...INATILISHA AIBU SANA JINSI WATU WANAVYOONA VITU NEGATIVE KWANZA INSTEAD OF POSITIVE. KWANZA WATU WANAMSEMA SANA HUYU DADA,KAMA HUNA KITU POSITIVE CHA KUSEMA THERE IS NO POINT IN SAYING ANYTHING NA KAMA UNAONA HAFANYI VITU SAWA!, MSAIDIENI MTANZANIA MWENZETU AFANYE VIZURI KUINUA JINA LA NCHI YETU...NCHI YETU INGEKUA MUHIMU KIMATAIFA AU KUJILIKANA KIMATAIFA SIDHANI KAMA WANGEMUALIKA HALAFU WASIMUHUSISHE!...SISI WENYEWE WATANZANIA TUMEKAA TUU HATUFANYI CHOCHOTE CHA KUREPRESENT OUR COUNTRY AND MAKE IT COUNT TO OTHERS AROUND THE WORLD...TUSIKAE TUU KUPIGA UMBEA NA KUACHA COMMENT AMBAZO HAZINA MAANA..YES I KNOW EVERYONE HAS AN OPINION BUT SOMETIMES LEAVE IT TO YOURSELF...WATANZANIA WEZANGU TUANGALIE JINSI YA KUENDELEZA NCHI SIO KUBOMOA WALE WANAOJARIBU KUIENDELEZA AU KUJIENDELEZA.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 21, 2008

    Jamani JD alikuwepo katika ist ya hao waalikwa kama mtu anabisha basi awasiliane nami maana nina ushahidi wa Jd kuwepo ktia jopo la waalikwa ktk bd ya mandela

    Mkuu Michuzi nina kipande cha picha nimechukua nitakutumia ktika e-mail yako maana sina scanner hapa nimepiga pichaya gazeti.

    Sasa uyo anayesema alikuwepo katika hiyo concert naomba tueleze alikuwa wapi?

    Ni mzee Mbase

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 21, 2008

    I think the fact that she got invited to attend this event deserves a round of applause...good for you Jide!! Lets stop the hating dammmnnn! so what if she didnt perform, she wasnt invited for that - how many other performers were there but werent scheduled to perform???..So far Jide is the only musician who carries herself with respect, we hardly hear any scandals about her, she represents our country in events like the Kora awards etc..lets give her credit for what she is doing (no matter how small it may seem to you) with respect to putting Tanzania out there in the music industry... DON'T Hate...

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 21, 2008

    with due respect, JD Big up but please, FIRE the person responsible for your makeup.
    Doh !!!!!

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 21, 2008

    IF I HAVE NOTHING GOOD TO SAY ABOUT A PERSON. I SAY NOTHING!!!!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 21, 2008

    OK, Ualiko wa JIDe sio kama ni organiza wa hiyo event ndio walimualika.

    JIde alialikwa na Celltell kupitia wahusika wa Celtel walio Tanzania, yani ni jopo la majaji toka Celltell, ndio walikaa walifikiria nani ata wakilisha Tanzania kweye hiyo Birthday ya Mandela.

    Sio kama nyimbo za JIDe simesikika huko nje kiasi cha kuvutia watu na kualikwa.

    Narudia pale pale ni unyanyasaji na udhalilishaji mkubwa kwa kumualika JIDE kwenda UK na kuacha shughuli zake na kumuaibisha kwa kuto mshirikisha hata kwenye nyimbo ya Pamoja, (wimbo wa pamoja haukuitaji Ppawemba kuwepo ili aimbe na JIDE)hiyo ni jambo baya kuliko lote.
    JIde sio limbukeni wa kwenda ULAya kama eti sababu ya kwenda Ulaya tuu ndio akubali kuja kwenye shughuli isiyo na ushirikiano.

    Kwangu nadhani wamemdhalilisha na kumfanya ajione ni hastahili na wametudhalilisha sisi waTanzania wote,

    JIDe sio msanii asiye weza kuimba wala ku peform kwenye jukwa la kimataifa , kulikuwa na babe Cool na pia hata yule former child soldger toka Sudan nadhani JD alikwua bora kushinda wao na still wao waliperform.Dada wa Kenya alikuwa the Best ka kile kitu.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 21, 2008

    KWA HUYO ALIYENIJIBU NA WENGINE WOTE WANAOSHANGAA KWA NINI JIDE HAKUPEWA JUKWAA. NAWASIHI MJIFUNZE MAMBO MAWILI MATATU KUHUSU ENTERTAINMENT INDUSTRY HUKU ULAYA NA AMERICA NDIO MJE HAPA KUANDIKA MAONI KUHUSU JD. MNGEJUA MNAJUA PRESHA NA LOBBYING INAYOFANYWA NA MAKAMPUNI MAKUBWA YA MUSIC NA SANAA ZINGINE KUWEKA WASAANII WAO KWENYE SHOW KAMA ILE MSINGEKUJA HAPA KUMSEMA JD.

    THE FACT KUWA AMEALIKWA KUTOKA KATIKA KUNDI LA MAELFU YA WANAMUZIKI AFRIKA ANASTAHILI SIFA NA HESHIMA YAKE. NYIE MNAJUA KUWA ELTON JOHN, NA WENGINE WENGI WALIKUWEPO KWENYE SHOW, KWA NINI YEYE HAKUIMBA AU INA MAANA YEYE NAYE ANAJIINUA BILA KIPAJI CHA KUIMBA.!!!! KATIKA SHOW YA 3 HOURS MLITAKA WAIMBE WANAMUZIKI WANGAPI?

    WATANZANIA, JIDE NI MTANZANIA MWENZETU SAWA NA WASANII WENGI WANAOJITAHIDI, MUSIC SIO KAZI LELEMAMA HASA KWENYE ANGA ZA KIMATAIFA KAMA SHOW YA MANDELA ILIVYOKUWA. ACHENI KULAUMU WAPENI MOYO WAJIENDELEZE ZAIDI KWANI KUENDELEA KWAO NA WASANII WENGINE NDIO KUENDELEA KWA SANAA TANZANIA.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 21, 2008

    wewe anon hapo juu wa July 21 1:38PM...WELL SAID!...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...