Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwaaga wafanyakazi wa kampuni ya Kyocera katika mji wa Yokohama,Japan muda mfupi baada ya kutembelea makao makuu ya kampuni hiyo jana.Kamouni hiyo inayojishughulisha na teknologia ya mawasiliano ya wireless kwa simu na internet imewekeza nchini Tanzania na inampango wa kupanua na kusambaza shughuli zake nchini.Akizungumza wakati wa ziara yake katika kampuni hiyo Rais Kikwete aliihimiza kampuni hiyo kuongeza kasi ya uwekezaji nchini ili kuongeza nafasi za ajira kwa Watanzania na kuongeza ufanisi wa teknolojia ya mawasiliano
Home
Unlabelled
jk atembelea kyocera
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Rais mpenda misele huyu! kazi ya mawaziri yawa nini sasa?
ReplyDeleteHUYU ANON ANAMUITA RAIS WANGU TUKUFU MSANI AMEN.
ReplyDeleteLEMA NA MWAMILA WA FOE MMEIKALIA POITIC
PROF DR ING TUMAINI GEOFREY TEMU/LIAMPAWE.
ZIBARIKIWE NDOTO ZA RAIS AMEN