


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa Ray wewe si ulitangaza kuokoka? inakuaje tena mkononi umekamata hiyo mvinyo? au ulikua unatafuta umaarufu kwa mgongo wa Dini? angalia mambo yako ya mzaha katika Neno sio fresh utapata matatizo, thats all!
ReplyDeleteRay Mkorogo umemkubali!!!
ReplyDeleteDuuh wewe Ray wewe mzaire siku hizi maana huo Mkorogo usoni noma ,Kanumba Uko Dop na hiyo black beauty yako.....
ReplyDeletesasa kaka zetu mnabore, mikorogo gani hiyo, au ndo mnashindana na wakongo? punguzeni hasa wewe Ray!
ReplyDeletehahahahahaaaaaa kulikuwa hakuna watu ukumbini? maana hapo wanaonekana watu wa3 tu,
ReplyDeletemichuzi tafazari sana njoo arusha tukupe tishet naomba sana kwani niechoka kuona hiyo t-shirt mkuu.
ReplyDeletesweet,
Arusha.
jamani ray mbona unakuwa mrembo sasa???
ReplyDeleteKanumba anabadilika kuwa mwarabu... Ray anakua 'mzungu'! Zamani walikua handsome black men.. inaelekea the more famous you become, una-undergo transformation ya hali ya juu.
ReplyDeleteHata huyo Kanumba mkorogo unaonekana.Wazaire wamewaharibu
ReplyDeleteKanumba hendisomi jamani!
ReplyDeleteSASA TUACHE KUMCHEKA MICHAEL JACKSON.. MAANA NADHANI IMEKUBALIKA KWAMBA THE MORE YOU BECOME FAMOUS, NA MABADILIKO YANAKUJA.. ESPECIALLY KWENYE SUALA ZIMA LA MUONEKANO..a.k.a. MKOROGO....
ReplyDeleteNa kweli,mkorogo wa nini?Siri ni kwamba nyie wote mu hansome tu hata bila kubadilisha rangi zenu!Siri kubwa ni kuendelea kujiamini tu.Wanawake wengi sasa hata wameota ndevu kwa mikorogo hii,angalieni sijui nyinyi mtaota nini cha zaidi.
ReplyDeletehawa jamaa (Ray & Kanumba) ni vema pia kutumia vijisenti vyao kwa walimu wa mazoezi ya viungo na wataalamu wa lishe bora, vinginevyo watafuga maradhi yatokananyo na unene.
ReplyDeleteJamani inasikitisha sana,kwani ukiwa unataka kucheza filamu lazima upige mkorogo? kama hivyo ndivyo count me out please!!!
ReplyDeleteKuna usemi unasema "fuata nyuki ule asali na fuata nzi ule mavi." ila tahadhari unaweza ukafuata nyuki zikakuuma pia, sasa ndugu zetu hawa tangu wamepata marafiki wacheza filamu wenzao waliokuja kipindi kile wamejifunza vitu vingi pamoja na kujikoboa.Kitendo hicho cha Kujikoboa kwa mtoto wa kiume kiasi hicho haileti tafsiri nzuri sana hapa bongo ohooo!!!
ReplyDeleteHee mbona Ray ameanza kufanana na Defao sasa? aangalie sana mwisho ataanza kuota matako na maziwa, na kuanza kuvaa mawingi. simuombei mabaya ila aache mkorogo, mona wanaume weusi wa kiafrika ni wazur tu jamani?? na sisi kina dada ndio tunawapenda haohao weusi.
ReplyDeleteulimbukeni tu hamna kingine!! vijana wazuri wameshajiharibu. Inasikitisha kwa kweli.
ReplyDeleteJamanı thıs ıs very serıous! yanı ımekuwaje hawa watu kujıkoboa namna hıı!! WEWE ULIESEMA KANUMBA BLACK ANA TOFAUTI GANI NA RAY HAPO? WOTE WAMEJICHUBUA HOVYO NA KISHA KANUMBA ILO CARYLIKITI KICHWANI HATA SIJIUI NISEME NINI JAMANI!!! MANA WOTE NA NYWELE ZIMEPIKWA BUT ZA KANUMBA! OMG!KWAIYO WANALALIA KOFIA KAMA WANAWAKE? WAS IT VERY NECESSARY TO CHANGE URSELF SO MUCH LIKE THAT??? WHUUU!
ReplyDeleteMM mnamuonea wivu mwenzenu ray kapendeza sana na hiyo ni moja ya kuwaonyesha kuwa maisha ameyaona na kila unapopata kipato kizuri ni lazima uonyeshe mabadiliko unataka mwenzenu aonekane kama zamani kwa sababu gani RAY keep it up ma boy wana wivu hao FOLLOW YOUR HEART BROTHER... LIFE IS TOO SHORT.Ila weight hiyo be careful
ReplyDeletewanaweza wakaota nanihii kama ya wanawake shauri yao
ReplyDelete