NAIBU WAZIRI KIONGOZI NA WAZIRI WA HABARI, UTAMATUNI NA MICHEZO ALI JUMA SHAMUHUNA AKIMKABIDHI MSHINDI WA KWANZA WA RESI ZA NGALAWA SHOO, KHAMISI, BAADA YA NGALAWA YAKE KUSHINDA NAFASI YA KWANZA KATIKA SHEREHE ZA UZINDUZI WA TAMASHA HILO YALIOFANYIKA KATIKA UFUKWE WA FORODHA MCHANGA
BAADHI YA NGALAWA ZILIZOSHIRIKI MASHINDANO YA RESI ZA NGALAWA ZIKIWASILI KATIKA UFUKWE WA FORODHA MCHANGA ZIKIWA ZIMECHUKUWA NAFASI ZA PILI NA TATU KATIKA MASHINDANO HAYO YALIOZISHIRIKISHA NGALAWA KUMI NA TISA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...