mamodo wanaopamba banda la tigo maonesho ya sabasaba mwaka huu wakiwa tayari kupokea watembeleaji wa banda hilo ambalo lina mvuto wa kipekee kwa muonekano na shughuli zake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2008

    ISSA WATOTO WADOGO HAO UTAWAUMIZA BURE..WAACHIE NA VIJANA SAIZI YAO WAPATE BURDANI.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2008

    Hawa tigo mwaka huu wachemsha, katika banda lao sehemu ya kuingilia na kutokea wameweka hayo matofali na maji chini, kiasi kwamba inakuwa shida kwa watoto wadogo na walemavu inakuwa vigumu kwao kupita katika hayo matofali ukichukulia ya kwamba chini kuna maji.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2008

    uwiiiiii miguuu..

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 02, 2008

    kwanini wameweka wasichana tuu?? huo ni unyanyasaji wa kijinsia wa kuwatumia mabinti kama kivutio cha wateja katika biashara yao, hivi dunia hii itaacha lini kunyanyasa wanawake?!!! hao tigo wanafanya biashara ya simu sasa hao mamodo wa nini??

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 02, 2008

    Hawa ndio mamodo wa TIGO wenyewe.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 03, 2008

    mbona fitting za uniform zina boa zimeshonwa mtaani au nini

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 03, 2008

    Kwenye hii picha wanaonekana kama wameungua na jua!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...