miss tz eu 2008 lucy mwiza fundikira toka holland akiwa na washindi wa pili na wa tatu baada ya kutawazwa rasmi na kushinda tiketi ya kuja bongo kushiriki miss tz 2008 baadaye mwaka huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2008

    how come runner up 1 and 2 are prettier than the winner?... hivi ulaya jua linaumiza watu macho?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2008

    congratz...
    i wish u well

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2008

    Hongera sana dada. Sasa nyie washindi wa 2 na 3 mbona mmenuna hivyo jamani????

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 02, 2008

    Am 1st again, SHE IS CUTE.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 02, 2008

    Kweli huyu ni Rwiza kutoka bkb kutokana na ulegi wake kupendeza. endeleza libeneka tumechoka na ma miss wenyekwashakoo.

    Nantombe
    Moshi

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 02, 2008

    lucy mwanawane unastahili, yani huo usafari ni dhahiri kwamba wewe ni mtoto wa kinyamwezi...mithupu hakukuwa na mipx mingine ya costume?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 02, 2008

    Lucy, Hongera.

    Kidachi;

    Gefeliciteerd! en ik wens je heel veel succes met jouw toekomst.
    Groetjes
    Msambaa {Groningen}

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 02, 2008

    mmmmmh cjaona

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 03, 2008

    i say mna utani kweli nyie!!!!!!duh!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 04, 2008

    She is nice and Beautifull!Tunamsubiri ateme cheche zake Miss Tanzania!Hongera sana.Kejeli za Mijusi zisikukatishe tamaa mtu wangu uko bomba kichizi manake!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...