Habari wandugu!!
Mimi ni mwanafunzi nipo katika nchi ya Uchina. Kuna habari nilizipata hivi karibuni kwamba kuna Kadi za wanafunzi zinaitwa “International Student’s Card”
Nasikia kuna office ipo pale Tanzania ipo chini ya UNESCO Kama kuna mtu anafahau zaidi kuhusu hizo International Students ID,naomba aniambie.
Ninachohitaji zaidi ni:
1. Je,ni hilo jina ni sahihi?yaani “International Student’s Card”
2.Je,mimi kama mwanafunzi itawezaje kunisaidia?
3.je,nikitaka kuwe na hiyo Card nifanye nini?
Kwa mdau yoyote mwenye Info naomba anaisaidie!!
Bro Michuzi unaweza kuachia e-mail yangu kwa yoyote anayetaka kunipa hizo info in private.
Thanks

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. http://www.istc.org/sisp/index.htm?fx=istc_info

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2008

    Nenda kwa International Student Advisor wako hapo chuoni atakuelezea ni kitu gani na ni vipi utaipata. Kila nchi na sheria zake.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 04, 2008

    Ukienda STA travel agents pale peugeot wanazo, ukinunua airticket unapata kwa discount rate. Kuna services zingine pia za travel nk unazapata kwa discount. Unaenda na $10 na passport size picture.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 05, 2008

    haitakusaida sana kuna wengine wala hawakupi discount na hiyo card..Kama unacard ya shule na shule yako inajulikana huko uliko inatosha kabisa. Ukienda nayo museum, au kwenye sehemu zinaotoa discount kwa wanafunzi basi card ya shule ni sawa tu na hiyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...