mtibwa sugar ya manungu, morogoro, ina website yake ambayo ni mfano wa kuigwa na vilabu vyote nchini ambavyo vyote havina kitu hii muhimu katika jamii. hongera sana mtibwa sugar kwa maendeleo haya. watembelee http://www.mtibwasugar.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2008

    JAMANI HII NI MTIBWA AU TAIFA STARS?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2008

    Hilo kidogo la kushangaza jamani, lakini nisaidieni...sasa hao jamaa wa sarafu hiyo ya mbele mbona wamejipinda na hao nyuma wamesimama... mila na desturi za jamii nyingi pote ulimwenguni zinatafsiri huo upindo wa viuno kumaanisha mambo ya 'sodomu na gomara',enzi zetu wakati huo wa miaka ya sabini timu zetu wakati zikipigwa picha basi madume ya mbele yalikuwa na chuchuma na wanaosimama nyuma mikono imepinda kifuani...huo ulionyesha ubabe...lakini siku hizo...ah jamani Mungu atusaidie!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2008

    we mpuuzi,si umeambiwa mtibwa!

    ReplyDelete
  4. Michuzi hii ni picha ya kikosi cha Kilimanjaro Stars kilichoshiriki kombe la Chalenji Disemba 2007. Licha ya kuwa wamevaa jezi ya Taifa/Kilimanjaro, naweza kukupa kwa haraka haraka wachezaji wachache waio wa Mtibwa.
    Mwenye utepe wa nahodha ni mshambuliaji Dan Mrwanda (Simba). Akifuatiwa na mlinzi wa kushoto, Amir Maftah (Yanga). Golikipa ni Ali Mustafa (Simba). Anayefuatia ni Uhuru Suleiman (Wagosi wa kaya - Coastal).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...