msanii nyota ndogo toka mombasa kwa watani wetu wa jadi akifanya makubwa ngome kongwe katika tamasha la filamu la kimataifa la ziff, akishirikiana na kundi la tht (tanzania house of talent) ambao walikwenda nae sambamba kwa vibao vyake vyote ikiwa ni pamoja na 'watu na viatu' na 'nibebe nikuoneshe penzi' ambavyo vilikonga nyoyo kwa sana tu


HA SIO MCHEZO SASA YEYE NI JOTA KUBWA SIO NDOGO TENA. IT IS AS CONJUGATION (MNYUMBULISHO) OF{WA} NYOKA TO{KUWA} JOKA
ReplyDelete