mishi marshall anasema stoki mpya inakuja karibuni toka marekani na hii iliyopo haingoji mtu
mashati kwa kinababa
tai za nguvu

kwa picha zaidi za virago bofya hapa








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2008

    safi sana, nimeona vifaa vya nguvu sana, vinatoka kweli marekani,pale thrife shop, huwa naona vifaa kama hivi, na Salvation army pale New york. Safi sana dada.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2008

    Hivi ni kweli hizo nguo zinatoka marekani au basi kuudanganya umma? Ni bora waseme ukweli kwani tunajua siku hizi hata nchi zilizoendelea wananapeka lebo zao kwenye nchi kama china, Thailand n. k ili watengenezewe nguo kwa sababu kule bei ni nafuu. Kinachofanyika siku wafanyabiashara wanatangaza asili ya lebo na siyo wapi hiyo biadhaa inatengenezwa. Kuweni wakweli na wambieni wanaotengeneza waziandike wapi zimetengenezwa, kwani siku hizi product kutengenezwa ulaya au amerika siyo issue sana wanachotaka watu ni ubora kwani hata huku ulaya asilimia kubwa ya product zinatoka katika chi kama china

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 15, 2008

    Nakubaliana na maoni ya mdau hapo juu kwa swali KWELI HIZO NGUO ZINATOKA MAREKANI? Sio China kweli? Maana bwana wengi wanaleta vitu hapa na kujifanya wanatoa kwenye hizo nchi za nguvu kama MAREKANI, UINGEREZA, ITALY na kazalika kumbe si kweli,
    Mfano: miaka kama 5 iliyopita LILIAN MZIRAY kwa sasa anaitwa kwenye passport LEILA AHMED MSANGI alikuwa na duka la viatu na kazalika akiwakoga mji mzima ati vitu hivyo anatoa ITALY. Ukweli ni kwamba alikuwa ananunua vitu vyote INDIA.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 15, 2008

    People stop hating............nyie mnaosema mnadanganywa anoy wa kwanza july10th, 5:31am umewahi kufika NYC? maana hamna Duka linalosema "thrife shop" au ulikuwa una maana ya THRIFT SHOP???
    ACHA kuandika mambo ya KUHADITHIWA ili tu umuharibie mwenzako... na wewe anoy wa July 15 1:59pm kama uliuziwa nguo made in INDIA ukaambiwa vimetoka marekani Pole next tym kuwa carefull..... watanzania wenzangu TUPENDANE! Khaa mnauzi

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 24, 2008

    well wote mliosema hapo i think u just hating i know da mishi very well vitu vyake anatoa marekani so kama u guys know people wanaotoa vitu elsewhere just do u hujalazimishwa kununua for us tunaojua stuff big up to VIRAGO da mishi do ur thing usiwasikilize wapambe nuksi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...