diabate akicharaza nyuzi bin nyuzi usiku wa kuamkia leo katika tamasha la ziff, ngome kongwe

diabate akibembeya na bendi ya wazee sugu inayoongozwa na king kikii
bahati ilioje kula mikonozzz na gwiji la gitaa toka guinea sekou diabate. shoto ni kikumbi mwanza mpango a.k.a king kikii na kulia ni mratibu wa tanzania house of talent (tht) edward. usiku wa leo diabate atapanda tena jukwaani na wazee sugu kubembeya zaidi na zaidi. wadau, sitanii. huyu bwana anakung'uta mpini si kawaida. bofya hapa umjue zaidi


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2008

    Sumaye?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2008

    Hao mayakhe wamezeeka...lakini ujana hawataki kuuachia!!!hebo nyie 'act your age'!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...