mwanadada muasisi wa kinamama kushiriki kwenye muziki wa dansi tabia mwanjelwa akiwa na kundi la double 'o' la kivumbi mwanza mpango king kikii, baada ya kuhama maquis du zaire alikotamba na kibao chake cha 'safari sio kifo'. nilibahatika kumvumbua akiwa huko ujerumani ambako anaendeleza libeneke na ana singo moja mpya kali sana

Michuzi! huo ndo umbuzi tusioutaka, ulisema blog mpya itakuwa na video na wadau wataweza kusikiliza muziki...wakati unasema Tabia yupo ujerumani na ana singo yake kali sana ulitakiwa uiweke tuisikilize harafu tutoe maoni.
ReplyDeleteAnyway waTz huwa inatuchukuwa muda kucop na v2 vipya...nakutakia kila la kheri unc mithupu mzee wa bwawa la maini