Wapendwa wanachama wa CCM Tawi la Muhimbili mnataarifiwa kuwa kutakuwa na uzinduzi rasmi wa tawi letu siku ya Jumamosi Tarehe 5 Julai 2008
katika Kiwanja cha Ofisi ya Kata ya Upanga Magharibi (Nyuma ya Kituo
cha mabasi ya kwenda mjini cha Fire),Barabara ya Morogoro.

Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mh. Pius Msekwa,Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)
Muda: 3.30 asubuhi -6.00 mchana
Wageni wote wanatakiwa wawe wameketi ifikapo saa 3.30 asb
Wote mnakaribishwa!
Kidumu Chama Cha Mapinduzi!
Dkt. Moses Ringo
Katibu wa CCM Tawi la Muhimbili
+255-713-550032

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2008

    KIDUMU.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2008

    napenda kurekebisha kidongo tu ktk
    usemi kidumu cha mapinduzi!!

    mbona mnamsahau mwanzilishi wa chama hicho?? mimi nafikili ingempendeza kama ukisema

    kidumu chama cha mapinduzi,zidumu fikra za mwenyekiti wa chama
    ambazo ni zakukemea ufisadi au mnaonaje??

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2008

    Mradi msiitumie Gia hiyo kuchangisha Wafanyabiashara wa maeneo hayo kama mlivyozoea!Na kisha mtakatokomea mnakokujua!Tumewastukia sana!Toka mwaka 1977 eneo hilo halikuwa na Tawi la CCM? Maajbu ya Farasi kulia mlio wa Punda!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2008

    Jambo jingine tukumbushane Makada nisije nikasahau unajua Utu Uzima tena Matatiiiizo!Baada ya uzinduzi wa Tawi letu sote kwa mshikamano tukagawe kadi za uanachama wa CCM katika Wodi zote za Muhimbili tukianzia na wodi ya Kibasila!Sawa jamani?Kidumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...