warembo wakila tizi la kuosha magari kabla ya kufanya kweli kesho kuanzia saa mbili asubuhi viwanja vya lidaz kinonondoni katika zoezi la hisani kusaodia wagonjwa wa sickle cell. kila mwenye gari anakaribishwa kuoshewa gari lake na kutoa kitu kidogo kutunisha mfuko huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2008

    nisaidieni wadau ni kwanini mamiss wanaosha magari na pia mamiss nilazima wavae nguo zakuacha sehemu sehemu wazi.
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2008

    jamani kuosha gari huku umevaa hi hill?? hao madem wanataka kuuza sura tu, TiGo wametoa mahela, waandaaji kwanini msingenunua nguo maalum na gambuti ambazo kwa kila mrembo ingegarimu kama elfu 20 ivi kuliko ivyo walivyo vaa?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2008

    samahan,we mdau wa kwanza upo sayari gan,au upo kijiji gan

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...