afisa mtendaji mkuu wa air tanzania limited david mataka (kulia) akimpongeza muwakilishi wa muongoza fialmu shravan vidyarthi wa kenya ambaye usiku huu ametangazwa mshindi wa tuzo ya filamu bora ya ist afrika mashariki 'african lens' . stori yote nenda http://lukwangule.blogspot.com/washindi wa mwaka huu ni kama ifuatavyo:
Golden Dhow for Best Feature: Ezra (2007, Dir: Newton I Aduaka, Nigeria)
Silver Dhow for Best Documentary: India Untouched (2007, Dir: Stalin K, India)
Best Short/Animation film: Subira (2007, Dir Ravneet Chadha, Kenya)
Best East African film: African Lens (2008, Dir: Shravan Vidyarthi,Kenya)
Special Juror’s Choice: Laya Project (2006, Dir: Harold Monfils, India)
for the most relevant to the themeof the Dhow countries


yaani hamna mmbongo ? Hiyo bongo land tuliosikia ikisifiwa sana haikuweza hao wakenya au haikupambanishwa...so sad wahindi, wanigeria na wakenya watambe kwenye tamasha letu
ReplyDeleteHuoy mhindi Shravan katuma mwakilishi eti!
ReplyDeletewabongo mmetapeliwa. huyo mwakilishi wa Sharvan alikuwa ni jajai hapo ZIFF. Bias judging.
ReplyDelete