dj yusuf akiwa na wajina wake bwa' chuchu na mc wa ziff, na chini akikaanga mbuyu katika mgahawa maarufu wa mercury usiku kuamkia leo hapa zenj kusherehekea siku ya kuzaliwa mandela ambapo aliporomosha vibao vya kila aina toka mchiriku hadi sebene na afropop za akina youssou nd'our


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...