Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Inasikitisha sana, Inakatisha tamaa,Inafanya Watanzania kuendelea kuwa maskini wakati wachache wakifaidika na jasho la wanyonge.

    ReplyDelete
  2. Safi sana KP jana mjadala ndio umefungwa JK msanii,hamna richmond,kiwiri wala mengine mpaka mwana ccm mwenzake kaamua kumuuambia ukweli jana spika siti uwe mkali sio ushikaji wa wa2 wachache huku watu wengi wakizulumiwa ujue umebeba mzigo wa wa2 wote na hilo jeshi la TZ lipo kama la zimbabwe hamna tofauti angalie nchi nyingine kama mambo hayaendi sawa wanafanya kazi yao halafu wanaweka m2 mwingine sio mnakaa na manyota hata kazi hayana nyie ndugu zenu wananyonwa na wa2 wachache halafu mnaangalia tu ipo siku tutaa aamka halafu tutakuwa kama burundi na rwanda haki imepatikana wa2 wametulia rwanda mpaka tufanyiene ndio tutashika adabu tumevumilia vya kutosha sasa...cc sio wajinga tunapenda inchi yetu iwe na amani ila nyie ndio mnataka hayo sasa...

    ReplyDelete
  3. Jamani watanzania wenzangu hivi hilo sanduku lina pesa au ndio makaratasi kwakweli insikitisha na inatia hasira na wala hatuna lakufanya kwa sisi wanyonge. Mimi nilitegemea sana Rais wetu atakavyohutubia bunge atawataja mafisadi kumbe la! lakini ipo siku ukweli utajulikana tu.

    ReplyDelete
  4. Jamani lakini Rais wetu kwa upande mwingine anajitahidi sana tuangalieni huku na kule lakini kupata kura ni ngumu sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...