rais wa tff sir leodegar chilla tenga akicheka kwa furaha na mkuu wa wilaya ya ilala mh. tsere (kulia) na kamanda wa polisi kanda ya dar afande selemani kova neshno leo wakati watoto taifastars walipoitoa nishai blackj stars ya ghana kwa kuilamba 1-0 kabla ya mapumziko.
gemu bado dakika tano tu nasi tuko kwenye 18 zao na kuna kila dalili kwamba tunapeta leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. mzee unamwita huyo jamaa Sr Tenga, je ana OBE, naomba kujua?

    ReplyDelete
  2. kaka michu, huyu tenga lini ametunikiwa hiyo knighthood na malkia? kwa lipi la maana alilofanya mpaka aitwe sir? kumpa title hiyo ni kichefuchefu, hatuna utaratibu huo nyumbani. Kama rais wa jamhuri hajamuona na hata hajafikiriwa kupata nishani ya jamhuri iweje leo apewe usaa?
    Hata sir alex furguson hakutumikiwa kama kupewa uongozi wa kijadi/kimila kwa viongozi wetu. there is a proven track of record behind him na ndiyo maana mpaka leo, even in a remote african state watu wanaijua manchester united.
    Tenga anaweza tuambia for all these almost 4 years amefanya nini cha maana? kama hajaseme ameisaidia yanga kuthibiti mapato mlangoni?

    ReplyDelete
  3. Samaha kwa kuandika maoni katika mada isiyohusika

    Mimi naitwa Anna wa Sinza

    Kaka michuzi wewe ni mwandishi wa habari tena katika Gazeti la Serikali mimi kama msichana naomba kwa kupitia taaluma yenu mlionayo ya Uandishi wa habari fichueni anayoyaandika mwenye blog ya theutamu.blogspot.com inadhalilisha jamii ya kitanzania

    ReplyDelete
  4. Sasa wewe dada Anna wataka michuzi amfanyie nini zeutamu, acheni utamu aendeleze libeneke la kuwafichua ninyi mnao tudharirisha nje na ndani ya nchi yetu! Maana mkiona mapicha yenu mle basi hapo nd' mtaacha tamaa ya kupenda $ ya joji kichaka, na pia mtaacha kuwaambukiza wenzenu virus vya ukimwi, kama wewe nanihiiiiii wa G G G G G

    ReplyDelete
  5. awe sir asiwe sir mie sijali haina haja kushindana kwanza sir haina mpango chunguza utaona kuna watu wamekataa kupewa u sir na queen sababu nyingi tu za kuzarauliwa wa africa. akiitwa sir silazima awe na queen kwa mwenyezimungu hakuna cha u sir wala mr huko.

    tuzungumzeni kuhusu mpira wa leo huyu mapunda mpaka lini atabebwa na maximo? Mapunda Kaa nyumbani kwenu hatudaki panzi hapa tunadaka mipira inayodakwa na kupanguwa kwa ngumi inayotakiwa kupanguliwa.

    Nakuhusu huyu Dada anayesema theutamu anasema ukweli hiyo utamu itolewe.

    ReplyDelete
  6. it is clear Kaka Michu kumuita Tenga Sir hapa ni kama endearing term na hakumaanisha kuwa he is a true knight. Ni kama vile kumuita best wako "mjomba" au "mwana" wakati he is not your mother's brothers or your son. Let's not be too uptight about every minor detail jamani; have a jolly attitude.

    By the way, correct me if I'm wrong, but if we were talking in formal terms, isn't the title of Sir/Dame assigned for ranks above OBE, i.e. you have to be at least a Commander of the British Empire (CBE).

    ReplyDelete
  7. ulioandika chini lazima awe (CBE) hujakosea mie ndio nimeandika juu hapo awe sir au asiwe sir haijalishi ni kama kumuita mkubwa kaka au dada au mama au baba au mzee, pia uwe kwenye Common wealth ambayo haki zake siku hizi wa africa tuliotawaliwa hatupewi kabisa ukiwa mtanzania una haki kupewa haki kama za citizen nchi uwengereza mbazo wamezibana kiaina ila siku ya michezo wanatuita kama kumnyenyekea malkia. mie naona kuhusu Common Wealth ivunjwe na knight pia mnaonaje? sababu haitusaidii kitu.

    ReplyDelete
  8. JAMANI MSAMA ANYEMILIKI MSAMA PROMOTION NI TAPELI NA ANTARAJIWA KUFIKISHWA MAHAKAMANI NA JAMAA MMOJA WA UPANGA KWQ KUMTAPELI MILIONI SABA. PIA JUZI NIMEPATA HABARI KUWA TBC NAO WANATARAJIA KUMPELEKA MAHAKAMANI KWA KUWAPA CHEQUE FEKI YA MILIONI MBILI NA WANAYO PIA ANADAIWA HEAL YA MATANGAZO TBC MILLIONI NNE NA HATA HATHUBUTU KUKANYAGA TBC. PIA HUYU JAMAA AMEWAHI KUWATAPELI WAPO MEDIA NUSURA WAMTANGAZE SIKU YA TAMASHA KUWA NI TAPELI AKATOA ADVANCE. ONYO WOTE WANAOFANYA BIASHARA NA MSAMA HASWA MEDIA HOUSE WATAMBUE KUWA WANAFANYA BIASHARA NA TAPELI ALIYE NA KIVULI CHA ULOKOLE.
    KAMA MNABISHA FANYENI UTAFITI HATA WAFANYA KAZI WAKE WANALIAA MSAHAHARA.

    ReplyDelete
  9. MSAMA NI TAPELI KAKA MICHUZI HEBU FANYIA KAZI HILI SWALA KWANI ANAAIBISHA NA KUIBA KUPITIA KIVULI CHA ULOKOLE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...