Baada ya kutokuwepo 'hewani' kwa siku tano, hatimaye leo tumerejea tena kwa ari na nguvu mpya!
Kazi ya kwanza tunayoianza asubuhi hii, ni kuweka habari na hadithi kuanzia pale tulipoishia Ijumaa iliyopita, baada ya hapo tuwawakee habari na matukio mapya na motomoto ambazo mmezikosa kwa kipindi chote hicho.

Tatizo lililojitokeza, ambalo hatukupenda kabisa litokee, lilikuwa nje ya uwezo wetu na hakika limetukera na kutukosesha raha sisi pia.
Kitu kimoja tunawaahidi;
HILI HALITAJIRUDIA SIKU NYINGINE!
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wote mlioupata na tunawashukuru kwa kutuvumilia na tunawaomba muendelee kusoma habari pekee mzipendazo.

Asanteni sana.
Web Master.
Global Publishers Ltd

abdallah mrisho
Visit me at:
www.abdallahmrisho.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ...Bado hakuna kitu hapo! Nendeni mkalipie Fee ya WebSite, Bwana!!

    ReplyDelete
  2. Kwikwi bado haijaisha, nimefungua hata sasa hivi bado au nyie unapata kupitia wapi? Kama sio www.globalpublisherstz.com? Tafadhali naomba washughulikie sasa!!!!

    By Irene Mkwizu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...