kampuni ya kupakua na kukagua mizigo bandarini ya tiscan imeleta magari mapya maalum kwa kubebea mizigo toka kwenye makontena ili kuongeza ufanisi bandarini hapo na kupunguza msongamano wa mizigo katika bandari ya salama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. MH.DC WA TEGETA KAMPUNI YA KUPAKUA MIZIGO BANDARINI NI TICTS NA SIYO TISCAN.TICTS NI TANZANIA INTERNATIONAL CONTAINER TERMINAL SERVICES.HAWA WAMEKODISWA NA SERIKALI KUENDESHA SEHEMU YA KUPAKUA NA KUPAKIA MACONTAINER MERINI.NA TISCAN NI KAMPUNI DADA YA COTECNA ZOTE NI KAMPUNI ZA KIGENI TISCAN WAO WAMEPEWA TENDA NA SERIKALI YA KUFANYA MAKADILIO YA USHURU NA KUKAGUA MIZIGO(VERIFICATION) KWA MASHINE ZA MIONZI(SCANER)KATIKA VITUO VYA BANDARINI,AIRPOT NA KICD(BANDARI KAVU)KURASINI INLAND CONTAINER DEPORT.MH.DC NAOMBA KUWAKILISHA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...