Kaka Michuzi na Watanzania wote nawakaribisha Lushoto kwa kina Shemahongeo, Shemzigwa, Shemboza hata Shemeji wote ni Wasambaa tu, mambo ni Tambarare mpaka Mlimani Juu, huko hata Baluni zinaenda si unaona mkeka wenyewe na mandhari ya milimani? Hapo tulipiga stop kushangaa milima tukiwa njiani kwenda vekesheni Home na Wanaonituma kazini kila siku.

Mdau John Kusaga


limo langu likiwa limepaki sehemu za lushoto. bei nipeni wenyewe...



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani nahitaji hiyo gari kwa moyo wangu wote. Naomba maelezo zaidi juu ya hilo gari.

    Nahitaji kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...