nimebahatika kugongana na mmoja wa wadau waandamzi wa canada aliyekuwa bongo kwa vekesheni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Lutfih Omar, oh siku nyingi sana sijakuona, kila la heri!

    ReplyDelete
  2. Kaka Michuzi nimefurahi sanaa kumuona kaka Lufti kwenye blog yetu kwa heshima na tahadhima naomba umpe mail yangu Lutfi kwani tumepoteana miaka ya tisini alipoelekea Canada na mimi huku Japan.
    Nitashukuru sana kwa ushiriano wako Naitwa Rajab Mbeyu. < ghettovex@hotmail.com> mail kapuni kama desturi kaka michu. si lazima kuibadika hii kwenye blog ila kama utaweza nifahamishe kama amepata ujumbe huu.
    Wabillah Taufik!!

    ReplyDelete
  3. Naona leo ni kwa mwendo wa Hawaii...good to give a break that t-shirt sometimes.

    Itabidi tuchange hela tukuwekee fashion stylist wako. Hujui wewe ni celebrity wetu kaka yangu? Jina lako kubwa sana. Sasa hivi unatakiwa uwe na personal assistant, fashion stylist wako, bodyguard wako, personal trainer na hata chef wako.

    Usituangushe bwana

    ReplyDelete
  4. Heheee chef wa kumpikia makange na supu ya pweza? makubwa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...