WADAU WATUKUFU,
KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA KUKUMBUSHIA TENA KWAMBA ILE ZAWADI YA DOLA 500 KWA MDAU ATAYEBAHATIKA KUWA WA MILIONI 5 JUU YA ALAMA IPO, NA MFADHILI KESHAPATIKANA KUTOA ZAWADI HIYO KAMA ILIVYO KAWAIDA YA GLOBU HII YA JAMII IFIKIAPO MILIONI FULANI.
WAKATI TUKIELEKEA HUKO KWA KASI INAYOTIA MOYO, NAOMBA KUTOA SHUKURANI ZANGU ZA DHATI KWA MFADHILI HUYO AMBAYE TUTAMTAJA SIKU ZIKIKARIBIA, NA PIA KUWASHUKURU WADAU KWA KUENDELEA NA LIBENEKE LA GLOBU HII YA JAMII KAMA KAWA.
NAFARIJIKA NA KUFURAHI SANA KUONA KWAMBA BADA YA KWIKWI ZA HAPA NA PALE, MAMBO YAMEREJEA PENGINE ZAIDI YA AWALI KWA WINGI WA WADAU.
NAWASHUKURU SANA SANA NA SINA CHA KUWAPA ZAIDI YA KUWAOMBEA MOLA NA PIA KUAHIDI KULIENDELEZA LIBENEKE HADI KIELEWEKE
-MICHUZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...