warembo 26 wa toka kila pembe ya nchi wakiwa break point ya mjini kujichana na dina la mchana


daudi, bosi wa mnyororo wa migahawa ya break point akihudumia washiriki wa miss utalii 2008
warembo wa miss utalii 2008 wakijichana kwenye mgahawa wa break point ya mjini karibu na billicans club

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Sasa Bro Misupu! Mbona hao mamodoo kila mmoja wao anakula chipsi kuku pamoja na tomato sosi? Nilidhani inabidi wale saladi tu kwa kuweka miili yao kimodo!!!!Chips kuku na tomato????Bongo tambarare!

    ReplyDelete
  2. Wengine wanakunya Vita Malt????!!! Sidhani wanajuwa matumizi yake...Hiyo ni ya kuongeza nguvu baada ya kazi pevu!!!"energy drink
    "!

    ReplyDelete
  3. Mbona hawavutii? Tutashinda kweli? Hmmm

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...