
Hello,
My name is Terri Place and I am the director of a small NGO in Bagamoyo called The Baobab Home (http://www.tzkids.org/).
I have arranged for a Bagamoyo boy of 12 named Mbaraka Jumanne to fly to the UK in September to have an operation performed on his face.
He suffers from a large tumor on one side. He has been accepted by doctors at Facing The World charity. What we need is a Tanzanian family for him to stay with in London within one hour (via tube or bus) of Chelsea and Westminster hospital in London.
Facing the World will cover all costs for Mbaraka and his mother including food money paid to the host if needed.
Can you post a notice on your blog and/or give me the proper addresses to other blogs for Watanzania?
I have been told that they are widely read by UK expats. I think it would sound better coming from you in Kiswahili than from me.
Thank you so much.
Terri.
Haya jamani, kuwepo ughaibuni bila ya msaada kwa ndugu zenu haisaidii kitu. Huyu anaomba sehemu ya kuweka ubavu tuu. "Mdhungu" amekamilisha wajibu wake. Naanza kutanguliza ombi kwa Mungu ampe baraka yeyote atayesaidia.
ReplyDeleteHi Michuzi,
ReplyDeleteEbwana hiyo ni habari nzuri kusikia kwamba huyo mtoto atapata matibabu. Hongera sana kwa hao jamaa wa bagamoyo kwa kazi wanayoifanya. Hii iwe mfano kwa NGO's nyingine. NGO's zisiendeleze ufisadi bali huduma kwa watu.
Sasa suala la makazi hapa London. Mimi nipo hapa lakini sina nyumba ya kuweza kuwapokea dogo na mama yake. Lakini kama kuna msaada wowote utahitajika tafadhali tujulishe. Ninaishi Kent, kama saa moja kutoka westminister kwa train.
Ushauri: Je mnaweza kuwasiliana na balozi mama Majaa (Balazo wa Tz hapa London)kwani yeye anaishi mitaa hiyo. Nitaforward hii habari kwake kwa email.
habari ni njema kwa kijana kupata matibabu nakuomba mdau wa hapo juu kama wewe upo huko UK kwanini usiwasaidie kuwapatia mawasiliano na ubalozi au mtu yoyote ambae anaweza kuwasaidi au kwa jumuiya yoyote ya watanzania waishio huko Uk ili upatikane msaada wa haraka
ReplyDeleteWabongo bwana. Kwani kila kitu mpaka balozi afanye. Mlio london saidieni hapo, au wote karatasi zinagomba. Maana naona wengine wanamsukumia balozi kwasababu wao wakito majina yao na anuani zao kitanuka.
ReplyDeleteMama Maaja atafanya mangapi?
Haya Wabongo London, sio kila siku story za starehe tu.. Hii ni opportunity for somebody to really make a difference. I wish I was in London, I would have been honored to help. Tafadhalini Wabongo London do whatever you can to help this family. God Bless.
ReplyDeleteMdau - Boston, US
Wakati wa anasa na starehe za kujivua nguo na heshima...watanzania namba moja...lakini wakati wa mahitaji na msaada kwa wanyonge...ati balozi na sijui nani ajiingilie...'kweli aibu tupu'
ReplyDeletena kweli madebe matupu hupiga kelele chungu mbovu...
Unguja
Pamoja na waheshimiwa hapo juu kusema hii sio kazi ya ubalozi lakini nadhani kwa upande wangu hili suala ndio hasa muafaka kwa ubalozi kushughulikia kitu kama hiki kwa sababu linahusu mtanzania na huu ubalozi upo kwa ajili ya watanzania kwa shida na raha sio upo kwa ajili ya kuhudhuria mambo ya fashion show na kuhudumia wakubwa wajapo kuliko kuangalia hili la mtoto huyu anaehitaji huduma hii muhimu na msaada kama huo. Hata hao masponsor nadhani watakuwa happy wakiona wao wanasaidia na ubalozi unatoa msaada kwa mwananchi wake. Thanx.
ReplyDeletesasa mbona hawajaacha email zao ili tuwatumie hizo address zetu,nafikiri watu wengi watakuwa happy kusaidia lakini sidhani kama watakuwa free kuweka address zao hapa, mwambie aweke email iwe private kidogo kwenye kutoa hizo address zetu, mungu atakusaidia Mbaraka.
ReplyDeleteBalozi mbali, yale matawi na mashina ya ccm yaliokuwa yanafunguliwa kwa mbwembwe inamaana hakuna mtu anayeweza kumsaidia huyu mtoto?
ReplyDelete